Tour ya AY nchini Sudan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tour ya AY nchini Sudan

Discussion in 'Celebrities Forum' started by realznzrian, Apr 20, 2012.

 1. r

  realznzrian Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kurudi Bongo akitokea Sudan Kusini alikokwenda kupiga show kwa mara ya kwanza japo wamekua wakimwalika toka zamani, AY ameamplfy kwamba hakua na hofu yoyote kwenda kwenye hiyo nchi ambayo iko vitani.
  Amesema “ulinzi ulikua mzuri kwangu nilikua nalindwa karibu na askari nane ambao wote wana AK 47 poamoja na convoy, nilikua nalindwa mimi pamoja na watu wangu wanne nilioenda nao, tulikuatunalindwa mpaka usiku tunapokwenda kulala”
  Baada ya kufanya show ya kwanza Ay amesema jamaa waliikubali sanaikabidi wamwalike kwenye show nyingine ya pili ambayo ingefanyika kesho yake lakini ikashindikana baada ya kupokea simu kutoka jeshini kwamba vita imeanza hivyo kila kitu kikasimama, simu zikakatwa network, umeme hakuna,ndege za kivita zikasikika huku wanajeshi wakipita kwenda vitani.
  Ay alipiga show alhamisi iliyopita huko Juba Sudan Kusini ambapo baada ya show ya pili kufutwa, jamaa wakamkabidhi mkwanja wake na kesho yake asubuhi wakamsindikiza mpaka Airport lakini wamemualika tena kwenye show nyingine mbili ikiwemo moja miezi minne ijayo katika sherehe za Uhuru ambazo zimeandaliwa na serikali.
  Kwa furaha AY amesema “moja kati ya vitu nilivyokutana navyo vikamshangaza ni pale ambapo nilikua nakula usiku likapita kundi lawanajeshi alafu wakasema wewe niAY wewe tunakujua wewe, hata alienipeleka Sudan alishangaa… wale wanajeshi wakaniuluza tena wapi mwanaFaa wakimaanisha Mwana FA, nikasema ahhh kumbe hata mgosi nae wanamtambua……….kingine ambacho kimenishangaza zaidi ni kwamba hela yao ni kubwa kuliko ya nchi yeyote Afrika Mashariki”
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Chumvi imezidi...
   
 3. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Ni hatua kubwa kama analipwa vzuri
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Jipe Promo kimario!!!
   
 5. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  media zimewapa visogo wakongwe acha wajipe promo wenyewe!
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Eti hata mgosi wanamjua nenda kadanganye wasanii wenzako huko
   
 7. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,458
  Trophy Points: 280
  hiyo shoo hata picha hamna .uongo mtupu.
   
 8. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ...teh......
   
Loading...