Nina gari za kukodisha maalumu kwa ajili ya utalii (war buses) Land Rover &Land Cruiser! Ila kwa bahati mbaya trip ya Dar-Serengeti ni parefu bora na gharama zake zitakuwa kubwa...km huwezi panda ndege nashauri mtafute Coaster walau2 kwa hao watu 50!