Touching story

yani umeleta kitu cha uhakika sana leo sijui jana ulilala mkono gani? na umeamkia mkono gani bestito? hivi unajua kuwa leo ni birthday ya nelson -southafrica ex-presidento?
 
Boflo

Picha ya Jesus ndo ikoje?

Au kwa Kiswahili chengine; Picha ya Jesus ilipigwa lini?

Maswali mazuri haya, swali la nyongeza, Nani alimpiga picha Jesus? But asante Boflo kwani umetupatia ujumbe mzuri kiimani.
 
Last edited by a moderator:
mbona ya Blaine iko poa sana, utakua una wivu ww

Hapendi kuona anakuingilia uhuru, lakini hapendi kuona waliberali kama wanavyoonekana kwenye avator
 
Last edited by a moderator:
mmmm! kweli ni touching,ila hivi Yesu yupoje?
najiuliza hyp picha yake ilipatikana wap hadi ika match na
hyo alokua anaiona mtoto usiku!! au ni ile picha ya jimmie caviezel alicheza passion of christ!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…