Touch ya HTC XL BEATS AUDIO inaitajika

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
habari wanajanvi,natafuta iyo touch ya HTC kwan yang haifanyi kazi mkanda wake umekatika,ivyo kwa mwenyenayo naomba ntumie namba yako tufanye bihashara,au kama unajua mahali zilipo basi naomba maelekezo nikachukue
 
Chek na fundi Temba 0712-777951 posta mpya-Dsm. bei 160,000/=Tshs
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…