Micro E coli JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 938 Reaction score 192 Jun 15, 2012 #1 Wakuu wasaalamu nina simu ya htc chacha touch screen yake imegoma gafla ingawa keypad zake zinafanyakazi kama kawaida mwenye ujuzi na haya mambo anipe maelekezo ni tatue tatizo au anielekeze fundi mwenye weledi na haya mambo.
Wakuu wasaalamu nina simu ya htc chacha touch screen yake imegoma gafla ingawa keypad zake zinafanyakazi kama kawaida mwenye ujuzi na haya mambo anipe maelekezo ni tatue tatizo au anielekeze fundi mwenye weledi na haya mambo.