Capogi jr.
Member
- Feb 14, 2014
- 49
- 7
Wadau habarini zenu, leo ebu tujadili mechi ya Tottenham na Arsenal hiyo siku ya jumapili tukiangalia uwezekano wa Tottenham au Arsenal kushinda.
Ukirudi nyuma kuangalia mechi zao za wikiendi iliyopita mpaka uefa na europa league utajua kwamba Tottenhami amefungwa mechi zote mbili lakini kwa Arsenal mechi ya weekend aliweza kumtoa Everton kwenye FA league kwa mabao 4 kwa 1.
Na ukirudi katika uefa Arsenal alitoka draw ya 1 kwa 1 na Munich ingawaje alitolewa kwa jumla ya mabao ma 3 kwa 1. Bado ukiangalia upande wa Arsenal utajua kuwa bado ana majeruhi kama Qzil,Wilsher na Walcot lakini habari nzuri kwao kwamba Kalastom,Gibbs na Ramsey wanarudi uwanjana so patakuwa pana ushindani wa hali ya juu sana katika mechi.
Jamani wewe unaizungumziaje mech hii.