Tottenham sponsorship row: SA Tourism to meet Ramaphosa over deal

Logikos

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
12,509
19,558
Wakati wengi wanashauri Utalii kuwekeza / kutangaza Kwenye Timu za huko Ughaibuni tuangalie hii issue huko South Africa; SA Tourism to meet Ramaphosa over Tottenham deal

South African Tourism's controversial $51.5m sponsorship deal with English Premier League club Tottenham Hotspur will be discussed by the country's president Cyril Ramaphosa after sparking uproar.

Tourism minister Lindiwe Sisulu will meet with Ramaphosa this week following the outcry, which has seen sport federations and labour unions criticise the amount of money being spent on a club in Europe while they struggle to make ends meet domestically.

South Africa Tourism (SAT) have provisionally agreed a three-year deal shirt sponsorship deal with Tottenham starting at the beginning of the 2023/24 season and concluding at the end of the 2026/27 season.

In exchange for the investment, SAT will receive kit branding, interview backdrop branding, match-day advertising, partnership announcements, training camps in South Africa as well as free access to tickets and stadium hospitality.

But on 3 February, Presidency spokesperson Vincent Magwenya said that Mr Ramaphosa “did not think spending so much money in the manner that is being suggested will be justified".

The meeting is likely to be convened before the President’s annual State of the Nation address which takes place at the opening of Parliament on Thursday.

Sisulu met with SAT board members over the weekend to discuss the proposal - a proposal which she denies having seen before news of the controversial deal was leaked to the Daily Maverick website last week.

Since then, three SAT board members - Enver Duminy, Ravi Nadasen and Rosemary Anderson – resigned with immediate effect over the weekend, ostensibly because of their opposition to the proposed deal.

Themba Khumalo, acting Chief Executive of SAT, believes the deal would assist in bringing in large numbers of tourists into the country and would provide a good return on the investment given the large worldwide following of the Premier League.

Khumalo revealed that the north London club had been chosen because it was the only one of the Premier League’s top eight teams that was still available for such a sponsorship deal.

However, in a new twist, a tweet by UtdChronicles showed a video of an excited Khumalo opening a Manchester United branded box containing the Red Devils’ white away jersey with a large “Visit South Africa” emblazoned on the front of the shirt.

Report
“1.1 billion followers worldwide - if we convert just 1% there's 110 million. So this is a proposal from Manchester United,” he is heard exclaiming on the video which has been verified, according to UtdChronicles.

The Old Trafford club is searching for a new shirt front sponsor “in a normalised market” following a decision to end a deal with TeamViewer which was done at the height of the Covid-19 pandemic for a sum believed to be $56.6 million per year.

This is much less than the $77 million per year deal it had until 2021 with American car manufacturer Chevrolet.

Shortly after news of the proposed Spurs sponsorship deal broke, many of the country’s national sports federations expressed outrage saying the money could be better spent on development projects and financing struggling athletes.

The Congress of SA Trade Unions (COSATU), the country’s biggest trade union federation labelled the proposed deal as a misguided vanity project.

Ninavyojua nchi yangu its just a matter of time kabla ya sisi pia hatujatoa mapesa kadhaa ya kufadhili huko ughaibuni in the name of promotion / kuvutia watalii
 
This is much less than the $77 million per year deal it had until 2021 with American car manufacturer Chevrolet.
 
This is much less than the $77 million per year deal it had until 2021 with American car manufacturer Chevrolet.
That is Man United; Deal with TeamViewer for 56.6 which was much less than previous 77 from Chevrolet..., anyway those are Private companies money and they can do anything as they see fit..., But you can not say the same about public money
 
Kila kitu ni mtazamo ..
Nchi zinazotua hela premier League kutangaza utalii zinaona faida
Rwanda imeshaizidi Zainzibar Kwa watalii..
Mauritius inatuzidi Kwa watalii
Egypt wanatangaza na wolves na wanatuzidi Kwa idadi ya watalii..
Thailand wanatuzidi mara 10 na bado wanatangaza na Leicester city
 
Kabla Mauritius, Egypt na Thailand hawajatangaza kwenye Jezi tuliwazidi ?

Kwamba huo utalii umetokana na watu kusoma visit Thailand kwenye Jezi za Leicester City ? Kila kitu ni value for money; Na impact ya utalii katika hizo nchi ni zaidi ya hayo maneno kwenye jezi..., Ndio maana hata hao waliohoji wamehoji wakiwa na sababu wengine wakifika mbali na kusema ni misguided vanity project.....

Ingawa kama inalipa sana kwanini hizi kampuni binafsi za huku Bongo So and So Tours wasichukue hata Jezi za Timu zote na Duniani kote na kutangaza ili wapige hizo Pesa ?
 
Ina maana hujui idadi ya watalii Rwanda kabla hawajatangaza na Arsenal jezi na baada ya kutangaza??.

Google it....
 
Ina maana hujui idadi ya watalii Rwanda kabla hawajatangaza na Arsenal jezi na baada ya kutangaza??.

Google it....
Ha ha haaa Kwahio the only thing they did ni kutangaza na Arsenal alafu wakalala ?!!!!!

And how much did they spend na wangapi wanaokuja pale ni sababu waliambiwa / waliona Visit Rwanda kwenye Jezi za Arsenal ?

Kwahio unataka kusema impact ya Serengeti, Kilimanjaro kama kivutio au zile Documentary za Kina David Attenborough ukilinganisha ni ipi / kipi kina impact zaidi na pound for pound ipi ni value for money.... By the way issue ya Rwanda lazima uelewe after ile Genocide ilikuwa ni muhimu kuonyesha kuwataarifu watu kwamba all is well na Kagame kufuta ile image ya dictatorship it makes sense kufanya hivyo; pia huwezi kulinganisha Vivutio vya Tanzania na Rwanda (labda wale wanaovisit kwa kuvutiwa na Mabinti wa Rwanda -Sex pia inawateja wake) ndio maana sehemu kama Ibiza; Jamaica au Gambia kuna watu wanaenda kule to get their Grove Back....

Ila ukweli nakwambia value ya beach boys watano au hospitality ya guides kule field impact yao ya kuleta repeat customers na wengine wengi through word of mouth ni priceless (we need to invest more huko chini / ground) na sio hizi vanity projects ambazo hata upimaji wake wa conversion rate ni subjective....
 
Naona umeamua kubisha mradi kubisha...

Sasa tuwekeze kwenye beach boyz?

Yaani nchi kama Thailand na Egypt zenye uzoefu na mafanikio ya kutosha kwenye utalii...tuache kabisa kuiga mifano Yao tuanze na njia yetu binafsi na kuwekeza kwenye formula ambayo hakuna aliewahi ifanya ??..

Naona ni kubisha for the sake ya kubisha....
 
Yule lazaro nyalandu kipindi cha kikwete alipokuwa waziri wa utalii na mali asili alilipa matrilioni kutangaza utalii wa Tanzania tena kwa dakika moja kwenye mechi moja tu ila watu walijua kupiga pesa kipindi kile

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Naona umeamua kubisha mradi kubisha...

Sasa tuwekeze kwenye beach boyz?
The moral of the story ni kuwekeza field / ground; huko ndio utapata value for money...., watalii wengi wanaletwa na recommendation za wenzao ambao wameshapata good experience na wengine ni repeat customers ukiwatendea vema utawapata tena na tena
Yaani nchi kama Thailand na Egypt zenye uzoefu na mafanikio ya kutosha kwenye utalii...tuache kabisa kuiga mifano Yao tuanze na njia yetu binafsi na kuwekeza kwenye formula ambayo hakuna aliewahi ifanya ??..

Naona ni kubisha for the sake ya kubisha....
Kwamba Thailand na Egypt mafanikio yao yametokana na kutangaza kwenye jezi za timu za Ulaya; by the way hizo sio njia binafsi hizo ndio njia proven kwa kila nchi au sehemu ya utalii...., watu wanakwenda sehemu fulani sababu ya experience fulani kuna watu wanakwenda Amsterdan ili wakavute Bangi au sababu prostitution ni legal...,

Tanzania ambayo ni cradle of Humanity tuna Serengeti, Kilimanjaro tuna watu wakarimu n.k. tukiendelea kuwekeza ground tutaendelea kupata watu cha muhimu hata kama ni documentaries tufanye za maana za kuonyesha ni nini kipo Tanzania na sio kufanya promo za watawala.....
 
Yule lazaro nyalandu kipindi cha kikwete alipokuwa waziri wa utalii na mali asili alilipa matrilioni kutangaza utalii wa Tanzania tena kwa dakika moja kwenye mechi moja tu ila watu walijua kupiga pesa kipindi kile

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Haya mambo hususan kwenye fedha za Umma kunakuwa na loopholes za upigaji na watu hawana uchungu na hizo pesa..., haya mambo sababu kuna watu binafsi wapo kwenye hii sekta kwanini wasitumie hii njia ku-jipromote na wapige hizo pesa.....

Mambo ambayo hata conversion rate kuipima ni kazi; huyo waziri anaweza akasema hata mtalii atakayekuja kesho ni sababu ya promo yake ya dakika moja.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom