Safi sana!
Watu waliitabiria mabaya wee, mpaka sasa wamenyamaza kimya. Najua kimoyomoyo bado wanaitabiria mabaya, walisema hatufiki mwezi wa 10, wakasema 12 na sasa tupo March bado ni washindani. Napenda niwakumbushe wanajamvi kuwa SPURS tuna dhamira ya kuwa 4 bora, niliwaambia mapema ligi inaanza na sasa inaelekea mwisho narudia.