Stonesrain
Member
- Nov 19, 2019
- 56
- 53
Muulize....kila alipogusa mou ameacha alamaTumu gani mourinho hakuipa mafanikio??
Mkuu ,jiandae kisaikolojia Mourinho ana hasira na nyinyi lazma mpate kipigo heavy
Humfahamu mzee. Chelsea alitumia kiasi gani? Inter je? Madrid? Kwa ubovu wa United aliyopewa ilikuwa lazima kuwekeza sana. Kikosi cha Spurs kinahitaji additions chache sana. DM mmoja tu, Sergej/Bruno F. Kwenye full backs hasa kulia pana shida. CD iko vizuri ila inahitaji kuanza kuanza replacements za akina Toby.ataanza nunua kila mchezaji kama kichaaaa na changushangaza wakawapa gharama kubwa na asiwape mafanikio huyo ndyo mourinho
Tunawasubiri OT tuje tuwaonyeshe kuwa sisi ni wababe wenu wa wakudumu
Mkuu karibu sanaaaaNipo nanyi sababu ya SPECIAL ONE akiondoka na mimi ntaondoka.
Na huu ndio uhalisiaUnited inaweza shinda au kutoa sare pe OT ila haitamaliza ligi juu ya Spurs. Naipenda sana United ila siwezi shabikia kitu kisichoshindana. Now that Jowzey is back acha niende Spurs kwa mkopo.
Amchukue yule Xhaka na Matic ndio type zake hizi,wale kina Toby wanatakiwa wapatiwe kijana wa kazi mapema atakayekuja kuwareplace .....Humfahamu mzee. Chelsea alitumia kiasi gani? Inter je? Madrid? Kwa ubovu wa United aliyopewa ilikuwa lazima kuwekeza sana. Kikosi cha Spurs kinahitaji additions chache sana. DM mmoja tu, Sergej/Bruno F. Kwenye full backs hasa kulia pana shida. CD iko vizuri ila inahitaji kuanza kuanza replacements za akina Toby.
Mkuu karibu sanaaaa
Amchukue yule Xhaka na Matic ndio type zake hizi,wale kina Toby wanatakiwa wapatiwe kijana wa kazi mapema atakayekuja kuwareplace .....
Go go Spurz
Kutokana na position anayopangwa haimudu vema anaishia kuunguza lakini akipangwa juu yule jamaa napenda sana anavyocheza ana footwork nzuri sana.Shaka ni mtambo wa kusababisha penati
Pamoja mkuu tuendeleze gurudumuShabiki kindakindaki wa Jose Mourinho..alipo naweka kambi, man u hawakua na passion... ni shabiki wa Man u ila Tot ninakua shabiki pia.
Kama Dier atakuwa consistent ndiye chaguo namba moja kwenye deep DM. Hata akiwa United alitaka kumsajili. Baada ya kumkosa ndiyo kamtaka Bakayoko ambaye alimkosa pia. Ikabidi amrudie kijana wake Matic.Amchukue yule Xhaka na Matic ndio type zake hizi,wale kina Toby wanatakiwa wapatiwe kijana wa kazi mapema atakayekuja kuwareplace .....
Go go Spurz
Kweki dunia inakimbia. Kwa mara ya kwanza mashabiki wa United tunajikuta tunaanza shabikia timu nyingine epl. Acha wabaki na timu yao wapuuzi akina Woodwork. Now tuko na fundi Jowzey.Shabiki kindakindaki wa Jose Mourinho..alipo naweka kambi, man u hawakua na passion... ni shabiki wa Man u ila Tot ninakua shabiki pia.