P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 12,328 Reaction score 15,036 Oct 21, 2019 #1,301 Mnyama Q said: Wakuu nipokeeni nami ni mnazi mkubwa wa tmu yetu pendwa ya spurs Click to expand... Mkuu itakuwa umepotea njia
Mnyama Q said: Wakuu nipokeeni nami ni mnazi mkubwa wa tmu yetu pendwa ya spurs Click to expand... Mkuu itakuwa umepotea njia
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Oct 22, 2019 #1,302 HT Kane Son
Goodluck Mchika JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 1,228 Reaction score 1,143 Oct 22, 2019 #1,303 we go
Goodluck Mchika JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 1,228 Reaction score 1,143 Oct 23, 2019 #1,304 final 5/0
Statesmann JF-Expert Member Joined Jul 16, 2019 Posts 2,344 Reaction score 3,465 Oct 23, 2019 #1,305 Spurs bana kuna mshikaji wangu kaanza kuishabikia 2009 tupo advance halaf huyu Son haimbwi sana labda sababu sio mwingereza
Spurs bana kuna mshikaji wangu kaanza kuishabikia 2009 tupo advance halaf huyu Son haimbwi sana labda sababu sio mwingereza
Stonesrain Member Joined Nov 19, 2019 Posts 56 Reaction score 53 Nov 20, 2019 #1,306 Tueditie huu uzi jamani tumerudi tena rasmi...... Mourinho ni kocha wetu mpya wana Spurs
Stonesrain Member Joined Nov 19, 2019 Posts 56 Reaction score 53 Nov 20, 2019 #1,307 Ikiwezekana mods tuwekee sticky huu uzi maana muda wa makombe huu umefika
EZZ CHEZZ JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,230 Reaction score 1,356 Nov 20, 2019 #1,308 Mods tafadhali upeni huu uzi heshima na hadhi inayostahili. Ukae pale juu uwe sticky. Pia tittle iwekwe vizuri.
Mods tafadhali upeni huu uzi heshima na hadhi inayostahili. Ukae pale juu uwe sticky. Pia tittle iwekwe vizuri.
Stonesrain Member Joined Nov 19, 2019 Posts 56 Reaction score 53 Nov 20, 2019 #1,309 EZZ CHEZZ said: Mods tafadhali upeni huu uzi heshima na hadhi inayostahili. Ukae pale juu uwe sticky. Pia tittle iwekwe vizuri. Click to expand... Kabisa mkuu,na kama pale wanaona pamejaa wanyofoe mmojawapo kati ya United,Arsenal au Chelsea maana hawana hadhi ya kiwa hapo kwa sasa , Kutesa kwa zamu na hii ni zamu yetu....
EZZ CHEZZ said: Mods tafadhali upeni huu uzi heshima na hadhi inayostahili. Ukae pale juu uwe sticky. Pia tittle iwekwe vizuri. Click to expand... Kabisa mkuu,na kama pale wanaona pamejaa wanyofoe mmojawapo kati ya United,Arsenal au Chelsea maana hawana hadhi ya kiwa hapo kwa sasa , Kutesa kwa zamu na hii ni zamu yetu....
Stonesrain Member Joined Nov 19, 2019 Posts 56 Reaction score 53 Nov 20, 2019 #1,310 Kane's message to Poch
Issakson makanga JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 850 Reaction score 1,358 Nov 20, 2019 #1,312 game over mourinho ple tot ataua sana
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Nov 20, 2019 #1,313 Hii timu ya watoto uifananishe na man united ? Punguzeni bangi Stonesrain said: Kabisa mkuu,na kama pale wanaona pamejaa wanyofoe mmojawapo kati ya United,Arsenal au Chelsea maana hawana hadhi ya kiwa hapo kwa sasa , Kutesa kwa zamu na hii ni zamu yetu.... Click to expand...
Hii timu ya watoto uifananishe na man united ? Punguzeni bangi Stonesrain said: Kabisa mkuu,na kama pale wanaona pamejaa wanyofoe mmojawapo kati ya United,Arsenal au Chelsea maana hawana hadhi ya kiwa hapo kwa sasa , Kutesa kwa zamu na hii ni zamu yetu.... Click to expand...
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Nov 20, 2019 #1,314 Tunawasubiri OT tuje tuwaonyeshe kuwa sisi ni wababe wenu wa wakudumu Stonesrain said: Kabisa mkuu,na kama pale wanaona pamejaa wanyofoe mmojawapo kati ya United,Arsenal au Chelsea maana hawana hadhi ya kiwa hapo kwa sasa , Kutesa kwa zamu na hii ni zamu yetu.... Click to expand...
Tunawasubiri OT tuje tuwaonyeshe kuwa sisi ni wababe wenu wa wakudumu Stonesrain said: Kabisa mkuu,na kama pale wanaona pamejaa wanyofoe mmojawapo kati ya United,Arsenal au Chelsea maana hawana hadhi ya kiwa hapo kwa sasa , Kutesa kwa zamu na hii ni zamu yetu.... Click to expand...
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,016 Reaction score 46,805 Nov 20, 2019 #1,315 juma p maharage said: game over mourinho ple tot ataua sana Click to expand... Ataiua Tottenham au ataua nini
juma p maharage said: game over mourinho ple tot ataua sana Click to expand... Ataiua Tottenham au ataua nini
Issakson makanga JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 850 Reaction score 1,358 Nov 20, 2019 #1,316 Mr Q said: Ataiua Tottenham au ataua nini Click to expand... Kuna tim ztakmbia uwanjan
Will Jr JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 5,077 Reaction score 7,420 Nov 20, 2019 #1,317 Mourinho hii timu alikuwa anaitamani sana,chambuzi zake kuhusu Spurs zilikuwa zinajieleza, Naona kacheza kama pele now.
Mourinho hii timu alikuwa anaitamani sana,chambuzi zake kuhusu Spurs zilikuwa zinajieleza, Naona kacheza kama pele now.
Davety Member Joined Dec 14, 2018 Posts 76 Reaction score 70 Nov 20, 2019 #1,318 ataanza nunua kila mchezaji kama kichaaaa na changushangaza wakawapa gharama kubwa na asiwape mafanikio huyo ndyo mourinho
ataanza nunua kila mchezaji kama kichaaaa na changushangaza wakawapa gharama kubwa na asiwape mafanikio huyo ndyo mourinho
tropa92 Senior Member Joined Jan 25, 2017 Posts 156 Reaction score 217 Nov 20, 2019 #1,319 Davety said: ataanza nunua kila mchezaji kama kichaaaa na changushangaza wakawapa gharama kubwa na asiwape mafanikio huyo ndyo mourinho Click to expand... Tumu gani mourinho hakuipa mafanikio??
Davety said: ataanza nunua kila mchezaji kama kichaaaa na changushangaza wakawapa gharama kubwa na asiwape mafanikio huyo ndyo mourinho Click to expand... Tumu gani mourinho hakuipa mafanikio??
Stonesrain Member Joined Nov 19, 2019 Posts 56 Reaction score 53 Nov 20, 2019 #1,320 PTER said: Tunawasubiri OT tuje tuwaonyeshe kuwa sisi ni wababe wenu wa wakudumu Click to expand... Mkuu ,jiandae kisaikolojia Mourinho ana hasira na nyinyi lazma mpate kipigo heavy
PTER said: Tunawasubiri OT tuje tuwaonyeshe kuwa sisi ni wababe wenu wa wakudumu Click to expand... Mkuu ,jiandae kisaikolojia Mourinho ana hasira na nyinyi lazma mpate kipigo heavy