Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,604
- 188,816
Hakika Ila Levy Kwa Sasa Japo Amejitutumua Kama 140ml Inasemekana Kimekwisha Toka Za Usajiri Ila Naona Kabisa Watu Wenye Fedha Zao Wakiamuq Popote Pale Wanapiga.Levy na Ed Ni moja ya vichaa walio katika soka.
Mmoja anaahueni Bwana Levy.
Uwezo wa Pochettino Upo wazi sasa kama vazi la kahaba...kama hawatajali sana falsafa wana Barcelona naona wananafasi ya kumnyakua au Italia giant's.
Naona hapa boss levy atapambana kihuni na wachukuzi wa Mwalimu.
UEFA kuna shabiki niliwaambia hawa watoto wa Ajax japo na wazee wamo (Tadic)wahafui dafu,WanaMoto wa mabua kilichowakuta Onana atasimulia kwao dunia ya Tatu.View attachment 1099852View attachment 1099854
Ni Swala La Muda Boss Wangu Utajionea Mwenyewe Tunavyonyanyua MakwapaMlichokililia mtakipata, bado wiki tu.
Ni Swala La Muda Boss Wangu Utajionea Mwenyewe Tunavyonyanyua Makwapa
Naomba Uonekane Baada Ya GameMwenzenu Messi anaugulia sasa hivi, anasema yaliyomkuta hatakaa ayasahau.
Naomba Uonekane Baada Ya Game
Mkuu Umekwisha Umia Utajionea Mwenyewe Nini Nasema.Mkitufunga nitajipiga ban ya 2 weeks kujiuguza.
Yaani itaniuma sana, mategemeo yako juu sana.
Mkuu Umekwisha Umia Utajionea Mwenyewe Nini Nasema.