Tottenham godfathers Terry Venables and Ossie Ardiles believe Harry Redknapp is heading for the Champions League with Spurs...
Nitayahifadhi maneno yuko haya mkuu Mbu, baada ya ligi kuisha nitayarudisha tena jamvini tuone nini kimetokea. Kuanzia Jan hatutakuwa na mswalie na mtu!.
Mkuu sisi tumepoteza uelekeo!, unafuatilia ligi kweli?. Au unasema Bwawa la Maini?, sisi mambo yetu bado Super!. Nazungumzia Jan kwa sababu kadri tunavyoendelea tunaangalia kasoro zinazojitokeza na marekebisho yake ni Jan.Yaani mnasubiri hadi January ndio muanze ligi??? Nakumbuka kipindi ile mnapiga watu 6-4-4 na kuendelea mkisema msimu huu ni wenu, sasa mmepoteza uelekeo unasema mnasubiri January.
Haya, yetu macho na masikio!!!
Mkuu sisi tumepoteza uelekeo!, unafuatilia ligi kweli?. Au unasema Bwawa la Maini?, sisi mambo yetu bado Super!. Nazungumzia Jan kwa sababu kadri tunavyoendelea tunaangalia kasoro zinazojitokeza na marekebisho yake ni Jan.
...si nilisema,
Spurs, Man city, Aston Villa na Everton ni wasindikizaji tu, wala hawanishughulishi hawa!
Hivi kuwa katika 4 bora ni mpaka ushinde mechi zooote, kama ndio hivyo basi mnaweza kuwa mko sawa. Lakini ukweli ni kuwa kushinda na kushindwa ni sehemu ya mchezo, mbona na wakubwa nao wameangukia pua!. Je, ndio kusema hawamo tena katika ushindani?
Hehehe, Shedafa upo mkuu? Bado unafikiria mna nafasi ya kuingia kwenye big four?