Nashukuru Ivuga kwa kufuatilia kwa makini mechi, ilikuwa si mchezo. Jamaa walikomaa ile mbaya, lakini tumekuwa wababe wa Waitaliano kumtoa Inter then Milan si mchezo!. Wale wanaosema tuna kismati na waseme lakini tumekuwa timu ya kwanza toka Premier kuingia robo fainali.
Pole kaka kwa msiba!. Nashukuru kwa hongera pia, kama ulivyosema yote yawezekana si ajabu kweli watu wakastukia tuko Wembley kimzahamzaha hivi hivi....Shedafa hongera kaka,....bado nipo msibani bana, sikuwa hewani jana! Kama nilivyosema awali, "hamvumi lakini mmo!", ...si ajabu tukashtukia mpo Wembley kwenye fainali!...Hongereni sana.
Kumbe hili jukwaa bado lipo, nimelitafuta weee mpaka nikafikiri limepigwa chini bahati leo nimeliona.
hii nyumba wenyewe utawaona wakati wa raha tu vibayeni hivyo:disapointed:
Peter Crouch kawaangusha wenzake, ushabiki na unazi pembeni Spurs hawadeserve kipigo kama hiki duh!!
Peter Crouch kawaangusha wenzake, ushabiki na unazi pembeni Spurs hawadeserve kipigo kama hiki duh!!
Wewe umeiangalia mechi au unaongea kama mshabiki wa Arsenal anayeichukia Tottenham?Hapo ndio unadhihirisha upo upande gani ingekuwa Arsenal mngekuwa mnapiga tarumbeta hadi mbinguni, pundits wote wa England wanalia sasa wanatafuta mchawi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Warudi tu chacha kushindana na Chelsick kwenye Europa cup
Hahah naona Northern London Rivalry ata kwenye UCL lol!!Kipigo kipigo tu hakuna unazi wala nini lol. Wana mdomo sana hawa waache wafungwe hata kumi.