HELOW WANA JF
NATAFUTA WAREMBO 2 WA KULA NAO WIKEND HII NITAWAFUATA WALIPO NA NITAWARUDISHA
KIWANJA WANAWEZA KUCHAGUA pia,ALIYE SERIOUS kiss22love@gmail.com or aniprivate sms haraka wikend inakwisha 2meshachelewa.
Gharama zote juu yangu
nasubiria muujidha wa Mungu.
umeona ee? Miss u sana. Nakudipu udipwiki. Why?
nitadipikaje wakati zombie at upasuaji?
mkuu pesa ya mkopo inakusumbua nini?
ndio tumefungua chuo, boom linafoka.
ndyo matumiz ya hela jamani mara moja mojammh, kuna watu wangekuwa na hela za kula jamani, tusingepumuwa.
kwani kula bata mpka msex achen fikra mbovuKumbuka ndom, au kupima kabla au jiandae kupima baada ya miezi mitatu
hapana kaka jst kufurahia wikend karibuUnataka ukawaunguze nini, mkuu?
hahahaha. Pole mdada.
pole ya nini wakati nafurahia maisha yalivyo matamu.
Kumbe? Bas hongera..
umeona eeeh mida hii ninekuwa kwapani au nachakarika kuchemsha maji ya iriki na kuandaa mahanjumati loh.
sa si ndo vzur hvyo? Au ndo sizitaki mbichi hzi?
mwiko haujapika una siku ndo maana anataka sufuria mbili!!umeshaosha mwiko.
mie cha wote,mguu ndani mguu nje.
mwiko haujapika una siku ndo maana anataka sufuria mbili!!
duh! Cha wote?
unashtuka nini sasa wataka niwe cha wageni.