Totoya Verossa 2002 Year,1988cc just Arrived For sale.

SUNGUSIA

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
232
16
IMG-20121022-00068.jpg IMG-20121022-00063.jpg IMG-20121022-00062.jpg IMG-20121022-00065.jpg IMG-20121022-00069.jpg

Toyota Verossa For sale.
Iko kwenye very good condition no dent or body paint.

Mileage: 72,500Km
Year: 2002.
Engine size: 1988cc
Color: Silver.
Bei: 18M

Kwa anaye hitaji please contact 0713332019. or email brayanmagari@gmail.com.
 
Tumechoka kuwakumbusha kuweka bei mbona picha umeweka au bei ndio umesahau kuweka,nipigie,nipigie halafu nikipiga uniambie bei isiyo utarudisha salio langu na muda niliopoteza kukupigia?
 
mkuu mbona kaweka bei 18M!
 
Hivi hii kitu verosa ina tofauti gani na gx100 or 110 cresta superlaent au mark II grand?mi naona kama mjep kachange body.hebu wataalam tujuzeni.
 
Hakuna tofauti kubwa sana kwenye engine lakini vingine kama body ndani, uzito ni tofauti, ingia google halafu tafuta tofauti zake soma utaona. Verossa ni joint ya cresta na chaser baada ya kuachwa kutengenezwa kuanzia 2001 ndio waka toa verossa.
 
thus why verossa ni GX115
vipi mchuma huo mkuu SUNGUSIA, daka 12M
 
Last edited by a moderator:
thus why verossa ni GX115
vipi mchuma huo mkuu SUNGUSIA, daka 12M

Kaka unachanganya Kidogo GX115 ni zile Verossa au hata MArk ll ambazo ni 4WD ndio zinatumia code hiyo. but kila kitu ni sawa isipokuwa GX115 ina endesha miguu yote as 4WD.

Kaka hata bei yakuinunua japan mpaka hapa haitoshi hiyo 12M fanya utafiti kidogo.
 
Kamanda SUNGUSIA apo uko sawa kabisa. Naona mambo yako poa tu. Mi sijui kwa nini verossa hainibambi kama grande mark 2 gx 110. Lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: GP
Ila kitu kimenyooooka! Apo hakuna mchuchu utageuza hakyanani

MKuu Kaizer atakataaje na mambo yenyewe unayaona? ebwana mbona kimya sana hatusomani? au umegoma kubadilisha hiyo kitu nikuweke pengine???
 
Back
Top Bottom