Toto lakizungu...

Toto lakizungu...

Ilikua chuo hivi nikirudi zangu gheto, wakati napita maeneo ya bench za kusomea nikamuona toto la kizungu

limekaa bench zima peke ake nikajisemea hapa ndio penyewe sasa nikajiitupia salamu yakichokozi full kiswahili sikutaka ujuaji mwisho nikaaibika nakingeleza kilichofika kwa meli..
Bila kuchelewa toto lakizungu likatabasamu nakurudsha salamu, ...hahaha nikaona hapa sio pakuchelew nikakaa nae kwa bench katika kianzio cha stori nae "nikaamuuliza kwanini huko peke ako hapa vip kuna mtu wamsubiri"
Jibu alilonipa nkabaki kutahamaki tu et "niko hapa muda murefu lakini watu wananiogopa shijui ni kwanini"
Nikaangalia bench(mbweta) zingine watu wamefulika kwakubanana.....

Ni kweli tunaogopa hawa watu? Vipi ushawahii kutana na hili jambo

Makosa ya kiuandishi.
 
NISHAONA HAYO, ALIKUWA MSWEDEN, ALIKUJA KUFANYA FIELD BONGO, ALIPANGIWA ROOM KWENYE HOSTEL YETU KWA SABABU NI YA HADHI YA JUU IMEJITOSHELEZA KWA KILA KITU. NI MIMI PEKEE NILIYEBAHATIKA KUWAHI KUINGIA CHUMBANI KWAKE, WENGINE WALIMPITIA KUSHOTO, KUMBE BINTI WA WATU ALIKUWA ANAJIFUNZA KUONGEA KISWAHILI
 
I'm dying and trembling inside
and nobody knows it but me!🙂

0201114.jpg
 
Back
Top Bottom