Toto la kipare mashalaah

Mhh wapare!!!! Ganda la chungwa lakini ndani limao, hofyooo huwezi linganisha na Myamwezi
 
Hapa mashallah imetumika kwa maana gan?
 
ni mwanamke kama wengine na ni mpare kama wapare wengine wala usimkuze kama vile ni mwanamkeeeeeeeeee wa kuogopeka, au umepata tu picha yake then ukapata ham ya kupost tu na wewe
 
Hilo toto la kipare kwenye cm yangu ya tochi limegoma kufunguka lingefunguka tu ningeliomba mchepuko.
 
Mbona kama mfipa tu wa kule kwetu...............
 
Lazima kutakuwa na Chemist... kati ya Mpare na Msukuma, haiwezekani mpare awe mrefu hivyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…