Toto la kagame

Toto la kagame

Hivi itakuja kutokea na sie viongozi wetu achilia mbali rais akawa na watoto wapo jeshini, waalimu, polisi, magereza, kufanya kazi kwenye halmashauri, na si kwenye makampuni makubwa makubwa na zile taasisi nyeti

Rais kuingiza watoto wake jeshini ni dalili ya insecurity na udikteta...kila wakati ana hofu ya kuuawa
 
waafrika demu akiwa mrefu mwembaba tu kwenu ni mzuri, i raavv miss bantu........
 
Sijui ni mimi tu, ila Angie Kagame sijavutiwa nae.
 
Watutsi wanavyopenda ngono, si ajabu ukakuta mzee kisha tafuna bintiye. Hawana adabu kabisa watu hawa

hata tanzania kuna wazee na makabila mengi tu yenye tabia hizo chafu na bahati nzuri sana yanajulikana. iweje hujayataja hayo na umekimbilia upesi kwa watutsi wa nchini rwanda?
 
Sijui ni mimi tu, ila Angie Kagame sijavutiwa nae.

na ndiyo maana pakawa na huu msemo " the beauty lies to the eyes of the beholder ". hivyo mtazamo wako hautushtui kwani yawezekiana pia hata sisi tukimjua girlfriend wako au mkeo ambaye pengine wewe ndiyo umeona kuwa mrembo kuliko wote sisi tukaishia tu kumwona ndiyo mbaya kuliko wote na hafai.
 
Acheni zihaka jamani nataka kutangaza nia hapa nisaidieni pakuanzia.
 
mmh shingo kama twiga, huyu akifika 45 ni kwisheni, kabila ile wanapendeza wakiwa vijana tu, wakizeeka unawakimbia.
 
Back
Top Bottom