Toto la kagame


Kuna dada niliwahi fanya nae kazi husema yeyey ni mhaya na urefu wake na sura haina tofauti na ya huyo mrembo... aishi basi wanyarwanda tunao wengi humu nchini hapo pichani watoto wote ni warefu kuliko baba yao wakike kamzidi baba na wa kiume kamzidi dada picha itakuwaje watoto wa huyo kaka akijapata uzao wake urefu wao watamzidi Hasheem Thabeet
 

Hivi itakuja kutokea na sie viongozi wetu achilia mbali rais akawa na watoto wapo jeshini, waalimu, polisi, magereza, kufanya kazi kwenye halmashauri, na si kwenye makampuni makubwa makubwa na zile taasisi nyeti
 
Watutsi wanaona mbali kama tai. Yote ni mikakati ya kujihakikishia madaraka.
 
Mwe!!
Kumbe Kagame ana Binti Mrembo hivi?
 
Mmh i can't imagine her Papuchi,.c wanasemaga wasichana warefu wamebeba...
 
Huyo shurti ngwala vinginevyo hulambi kitu....ntatembea na ngazi yangu
 
Kipipi hata wewe umo wangu...
Hilo jicho tu kwa Avatar nimefika bei

Na jicho la upande wa pili utajuaje??
Je kama ni chongo nimeficha???

BTW, Mimi hiyo ni avatar tu ilihali ye mwenzangu ni picha yake halisi.
Umeona utofauti?
 
Na jicho la upande wa pili utajuaje??
Je kama ni chongo nimeficha???

BTW, Mimi hiyo ni avatar tu ilihali ye mwenzangu ni picha yake halisi.
Umeona utofauti?

Kweli ni tofauti,.... :car:
 
Makoshnel nani amekupa ruhusa kuweka picha za shemeji yako humu, au unataka nipinduliwe na bilionea bishanga akishirikiana na rutashobolwa. Mzizimkavu anaweza akanibindua kwa mizizi ya kienyeji. Babu mtambuzi tumia busara yako kuzuia mapinduzi
 
Makoshnel nani amekupa ruhusa kuweka picha za shemeji yako humu, au unataka nipinduliwe na bilionea bishanga akishirikiana na rutashobolwa. Mzizimkavu anaweza akanipindua kwa mizizi ya kienyeji. Babu mtambuzi tumia busara yako kuzuia mapinduzi
 
ukimwoa huyo kisha mtofautiane kidogo tu, baba yake ajue si anaweza kukutumia assasins wakakuchinja!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…