Toto halisi la Kihaya

hahahahahah.....................hapo kwa bold, angalia usijechokolewa kijana. Au ndo matangazo mixer sifa za kihaya?

We mbona unasifiwaga na demu una sura nzuri na bado hujapulizwa?
 
Nani kakudanganya wachaga hawana shape, ukiniona Mimi huyo ni cha Mtoto , labda masogange kidogo ndo tunaweza lingana, na sio uzuri wa nje tu, Ndan ndo balaa


Basi kumbe wewe hauna uzuri wowote. Sasa kwa akili yako Masogange ana uzuri gani, sura ni ya kawaida, makalio yana mabonde, kifua bado ni cha mtoto.....yaani unafanana na Masogange kweli? Basi ni bora tu ukauze unga na kutoka na Nigerians ili wakutumie ila katika uzuri basi wewe ni ziro. Huyo demu pichani japo ana matende ila anawafunika kinoma kwa uzuri wa sura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…