Wewe ni me au ke?
Unaongea kike ila hapo mwisho umejionesha kama me.
"anapokutana na x wake anakosa ujasili wa kutompa nafas ili wasicommunicate" Yani hili ni tatizo kubwa mno...akiendelea hivi, kama una pressure nenda ukanunue kabisa na kile kimashine cha kupimia uwe unajipima nyumbani!
mchumba angu nahis hana commitment kama ilivyo kwa wa2 weng ktk mahusiano ila ana claim anaipenda sana.kinacho nichanganya ni pale anapokutana na x wake anakosa ujasili wa kutompa nafas ili wasicommunicate na siamin nisipokuwa around kama atajichunga and i love her 2.
i thnk ingekuwa better tukatumia majina yanayo onyesha sex...unakuta m2 me analalia na kucoment kama ke, wat next
Mimi ma X wangu nakongoli kama kawaida, tena wengine wameshaolewa kabisa, kama unaniongelea mimi utakufa na pressure bure. Tafuta pesa dogo, wivu ni ugonjwa wa wanaume wanyonge wasiokuwa na pesa.
Salam zao che Mwali....Nakusalimia tu, as I am passing by.