Wakuu hawa watu wameita watu kwa ajili ya kuanza kazi kwa wale waliofanya interview nafas za Graduate program, naamini kuna watu wenye uwezo mkubwa humu jukwaani wa kumsaidia mtu kufanya uamzi....anaejua uzuri na ubaya wao tafadhari aniambie.

aende total. ata grow faster. niliwahi fanya nao sector ya finance kupitia graduate programme kule mnazi mmoja. ila wanakufanya busy mpaka unajua kweli upo kazini

Ahaaa sawa mkuu...wamemwambia wanaweza mpa ajira moja kwa moja kama ataperform vizuri kwa icho kipind, na kwamba wanaleta products mpya za (solar energy) ndo atadeal nazo sokon...vipi wanalipa fresh? Na vipi kuhusu ww ulipomaliza walikupa ajira au?