Mkuu rangi inategemea na Screen yenyewe, nadhani ushawahi kusikia au kuona kitu 16bit 8bit 32bit kwenye display yako kwenye sehemu ya kubadilisha screen, sasa kwa kila bit inaenda kiexponential kwa wale wa hesabu, mfano 1bit inakua 2^1 ambayo ni rangi mbili kikawaida hua ni black&white au wengine wanaita monochromatic... sasa kwa screen nyingi tumezoea hua zinafika 32bit ambayo ni rangi 2^32, sasa fanya calculation hap ni billions of colors.. sijui sijafuatilia kama kuna screen zinazodisplay zaidi ya hapo ila hadi softwares nilizoona kama photoshop na za 3D zinaishia 32bit