Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,295
- 755
Habarini wana jf, nimenunua laptop ya aina niliyotaja hapo juu kwa kweli najuta, kwanza naona iko very soft kutokana kuna siku nilikuwa nimeiweka kwenye begi la mgongoni huku na ride pkpk kutokana na rastars na bumps ikawa display imepasuka vibaya sana, nimejaribu kukonect na external monitor imegoma. Naomba kwa anaejua anisaidie mahali nitapata display yake na ni bei gani pili jinsi ya kuunganisha na external monitor maana nimejaribu njia ya kawaida ya kutumia FN+function keys F4,F5 etc imegoma naombeni msaada ndugu zangu maana nashindwa kufanya kazi zangu, asanteni.