Toshiba sattelite pro c850 f22t

Danny Massawe

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,268
2,000
Habarini wana jf, nimenunua laptop ya aina niliyotaja hapo juu kwa kweli najuta, kwanza naona iko very soft kutokana kuna siku nilikuwa nimeiweka kwenye begi la mgongoni huku na ride pkpk kutokana na rastars na bumps ikawa display imepasuka vibaya sana, nimejaribu kukonect na external monitor imegoma. Naomba kwa anaejua anisaidie mahali nitapata display yake na ni bei gani pili jinsi ya kuunganisha na external monitor maana nimejaribu njia ya kawaida ya kutumia FN+function keys F4,F5 etc imegoma naombeni msaada ndugu zangu maana nashindwa kufanya kazi zangu, asanteni.
 

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,084
2,000
kwanza lazima hiyo external monitor iwe lcd, kuhusu display wacheki hawa wanaitwachronical computers via 0713512700 au 0779512700
 
Top Bottom