Duh mi nimenunu mashine ya Acer IntelRcore i3-380M, Processor 2.53Gz, Intel HD Graphics, 15.6" HD LED LCD, 4GB Memory, 320 GB HDD nimenunua kwa laki 4 tu
Daah laki 4 kwa mtambo huu ni bei poa mkuu, hebu nielekeze ni wapi hapo na mimi nikanunue moja?
Main Specifications!
Hard Hisk ni 500GB, RAM 3GB, Processor Core3, ina Webcam. Rangi nyeusi.
ni Tsh. 650,000/- tu...
0767500908, Call me now!
Ya wizi watanzania wezi kweli. Na wewe mwizi subiri uje udakweDuh mi nimenunu mashine ya Acer IntelRcore i3-380M, Processor 2.53Gz, Intel HD Graphics, 15.6" HD LED LCD, 4GB Memory, 320 GB HDD nimenunua kwa laki 4 tu
Unataka kununua ya wizi?Screen ina ukubwa wa inch ngapi?
Kanunue mpya dukani acheni kununua vitu vya wizi!Daah laki 4 kwa mtambo huu ni bei poa mkuu, hebu nielekeze ni wapi hapo na mimi nikanunue moja?
Kanunue mpya dukani acheni kununua vitu vya wizi!
Hiyo ndiyo tabu Wabongo kuharibu biashara za wenzaoMkuu kwani Sizinga amesema alinunua ya wizi?
Acer ni mashine mbovu kaka,nimezitumia sana,kwa hiyo najua ninachosema huwezi linganisha na Toshiba,Dell,HPau Sony,utakuja sema hapa tena. Acer buure kabsa
Kanunue mpya dukani acheni kununua vitu vya wizi!
Ya wizi watanzania wezi kweli. Na wewe mwizi subiri uje udakwe
Kanunue mpya dukani acheni kununua vitu vya wizi!
Acha povu mkuu:mvutaji: