Waache hao wavaa ndala[emoji12] wanakula vyakula vigumu mpaka huko chini kufanye suguru[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna nguvu(wanaolalamika wanaume lakini) wana insist chakula cha chips.Dar kuna vyakula vingi mfano ugali sembe,pilau,wali,biriani,pweza,samaki,ngisi,chapati,kahawa,chips,kuku,mayai,dagaa kamba,matembele,sukuma wiki,mnafu n.k. Amini nakwambia kama uko kijijini unashindia michembe,kichuli,dagaa,fulu,mbege,komoni na kende za mbuzi toroka uje mjini ufaidi maisha.Toroka haraka uje mjini..
1.Vyakula vya shamba
Wangekuwa hawalalamiki msingekuwa mnakimbizana kwa wakina Dr MwakaInakera mtoto wa kiume kumlalamikia mwanaume mwenzake kuwa hana nguvu za kiume,wakati kina dada hawalalalmiki.
ahahah kila dakika watajifanya wanakuletea zawadi za viazi,embe au vimazao vya shambani mradi tu aliwe papuchi alafu kisha anenda kutangaza kijijini kizima eti ana bwana kutoka mjinisiye wa dar tukienda kijijini tunawagonga dada zao kwa swagga za mjini tu
mkuu kijijini huwa madada wanajileta wakijua unatoka dar wala hauangahiki kutongozaahahah kila dakika watajifanya wanakuletea zawadi za viazi,embe au vimazao vya shambani mradi tu aliwe papuchi alafu kisha anenda kutangaza kijijini kizima eti ana bwana kutoka mjini
Zinaitajika sana mkuu...yan kama tunavyohitaji umeme mwingi gesi ndio maana tunavivuna huko mikoani na first stop dar...then mnafuata.Kila mti dar kuna tangazo la kuongeza nguvu za kiume
Duh mkuu haya mav* ya tembo[emoji23] [emoji23] halafu umeziona hizo chapati wanaume hawa wanakula chapati kumbe nao.View attachment 375114 Duuh sasa ukila hii utajisaidia nn maana kipo kama ma** tayari
Kijijini bwana
Wa dar tutabaki kuwa wa dar. Itakuwa kati ya dodoma na wa Pwani.Bora hii serekali ihamie dodoma hili swala liishe na ww kama ni mwanaume wa dodoma jiandae na mada za wanaume wa dodama kipindi hicho cc wa Dar tutakuwa wa mkoani mbona mtakoma