Habar za muda huu wajomba, naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu topics za algorithms na material yake kwa wanafunzi wa cs/ se/ ce wa vyuo hivi udsm, udom,dit. Niko open university IT ,topic ya algorithms haipo kwenye course requirements.
Duh, mkuu ahsante kwa mchango wako ,lakn inaonekana ww ndo hujui, data structures na algorithms ni course kabisa na ina topics na sub topics kama ilivyo kozi yyt ile .