Nilikuwa sijaiona topic yako ya 6 dec. hehe. Ndio kwanza naiona leo, nimeipenda.Nazani, wanaume weusi sana wa kiafrika na wanaume weupe sana wa kizungu, tabia zao zinafanana sana tu. Sababu wapo wengi sana barani kwako kwaiyo sio hadim kuwapata. Na wanawake upenda kitu hadim, afrika mwanamme mwenye rangi kidogo tu upendwa na wanawake wengi, sababu ni hadim kuonekana.
Ukija kwa wazungu, wanaume weupe sana wapo kibao na ni raisi tu kuwapata. Na wale wazungu weusi kidogo sio wengi sana, hadimu kuwapata. Kwaiyo mwanamme mweusi mweusi kidogo wa kizungu umpendwa na wanawake wengi. Ndio sababu wanaume wenye rangi hadim barani kwao ujiskia sana.
Lakini mwisho wanao win katika ndoa ni wale wasio kuwa maarufu. Na hata kwa wanawake ni hivo hivo. au nakosea?
wanaume wote duniani baba yao mmoja
nyoooooooooooooooooooo!!!!!!somoe, mambo mpenzi?
Lakini mwisho wanao win katika ndoa ni wale wasio kuwa maarufu. Na hata kwa wanawake ni hivo hivo. au nakosea?
somoe, mambo mpenzi?
nyoooooooooooooooooooo!!!!!!
kurukia wanawake za watu:A S crown-1:
wanaume wote duniani baba yao mmoja
wanaume wote duniani baba yao mmoja
Ni kweli kabisa ukitaka mke wa kuishi nae kwa aman oa wa kawaida tu, anayekuvutia kwa wastani na umpende(sio uoe yule ambaye kwa mtizamo wako ni mbaya). Hawa warembo sana wanaringa sana, wanafaa kumegwa tu na unampa hela yake unaishia unamwacha anendelea kuvaa kufuli zake wala usimsubiri atakuteka akili ukaamua tofauti na kanuni baadaye ujute. Halafu warembo wana bahati hao hata aachwe na wanaume wangapi utakuta bado mwanaume mwingine anaingia mtegoni akidhani wanume waliopita hawakujua kum-handle vizuri lakini muda si mrefu nae anamwaga manyanga, the list goes on.........!
you are damn right!Lakini mwisho wanao win katika ndoa ni wale wasio kuwa maarufu. Na hata kwa wanawake ni hivo hivo
Ni kweli kabisa ukitaka mke wa kuishi nae kwa aman oa wa kawaida tu, anayekuvutia kwa wastani na umpende(sio uoe yule ambaye kwa mtizamo wako ni mbaya). Hawa warembo sana wanaringa sana, wanafaa kumegwa tu na unampa hela yake unaishia unamwacha anendelea kuvaa kufuli zake wala usimsubiri atakuteka akili ukaamua tofauti na kanuni baadaye ujute. Halafu warembo wana bahati hao hata aachwe na wanaume wangapi utakuta bado mwanaume mwingine anaingia mtegoni akidhani wanume waliopita hawakujua kum-handle vizuri lakini muda si mrefu nae anamwaga manyanga, the list goes on.........!
Wanawake woooote duniani baba yao mmoja. Iyo n'shaiona. Waache wabishe!!!!wanaume wote duniani baba yao mmoja