Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
Mtanganyika wa wapi wewe?
kuangaliana kwa makabila ilikua enzi za Mkwawa,Mangi Sina,Kinjekitile ngwale n.k
jamani sio wakurya wote ni wakatili bali ni baadhi tu na wapo wengine ni wapole
Kuna watu wanasema wakurya ni watata sana, wanasema mkurya anaweza akamchinja mtu! ila huku kwetu tunakaa na wakurya na wanaonekana wapole sana sasa huo ukali wao unatoka wapi?au kuna wakurya wakali na wapole?
hahaha kafanya nini thatha badala ya kumuita Mwita Maranya aje atoe ufafanuzi