Top Universities in Tanzania

Top Universities in Tanzania

Prof alisema ivi " Kama kigezo ni wingi wa campus bas msishangae mkisikia SAUT wapo juu" Kama watangalia umri wa chuo mtaona UDSM ipo juu na kama watapanga hiyo rank kwa wingi wa program walizonazo bas utaona ata UDOM ipo juu " mwisho akasema kama utangalia ubora wa chuo kwa idadi ya watu walioajiriwa na kujiaajiri lazma utataja chuo kikuu .........

utamalizia mwenyew apo
 
Profesa gan? Na kwanin usimalizie tuu.utoto huo
 
Labda kaogopa ata kosa kuraaa prof ila kama kweli ana mbwembwe
 
Prof alisema ivi " Kama kigezo ni wingi wa campus bas msishangae mkisikia SAUT wapo juu" Kama watangalia umri wa chuo mtaona UDSM ipo juu na kama watapanga hiyo rank kwa wingi wa program walizonazo bas utaona ata UDOM ipo juu " mwisho akasema kama utangalia ubora wa chuo kwa idadi ya watu walioajiriwa na kujiaajiri lazma utataja chuo kikuu .........

utamalizia mwenyew apo

hahaha mkuu itakua makumira hio
 
prof alisema ivi " kama kigezo ni wingi wa campus bas msishangae mkisikia saut wapo juu" kama watangalia umri wa chuo mtaona udsm ipo juu na kama watapanga hiyo rank kwa wingi wa program walizonazo bas utaona ata udom ipo juu " mwisho akasema kama utangalia ubora wa chuo kwa idadi ya watu walioajiriwa na kujiaajiri lazma utataja chuo kikuu .........

Utamalizia mwenyew apo

mzumbe university.
 
Endeleeni kulinganisha vyuo,graduates wa program za afya wapo mzigoni wanapiga pesa ya serikali..Madkatari,wafamasia,wakunga,nurses etc

Ranking ambayo haina criteria sidhani kama JF ni mahali pake..Great Thinkers do think!!
 
Back
Top Bottom