Top Three yako ni Ipi ? Yangu ni hii

Carzola alikua Fundi sanaaa hakabiki kirahisi. Ila majeraha tu.
Hivi unakumbuka villa real ile ya kina
Juan Roman Requelme na Marco Senna.
Senna alikuwa chuma lakini hakuonekana na faida mpaka kilipokuja kizazi za modern defensive midfielder under Sergio busquets
 
Nilimpenda chamakh kama Wenger na mashabiki wa Arsenal walivyotutambia kipindi
wamemsajili. Ila sijui alipatwa na Nn huyu mtu yaani alikuja kua flop wa hali ya juu.
Anyway still naheshimu kipaji chake maana alipokua ufaransa aliprove he was good na pia kwenye kupiga vichwa alikua hakukosi.
Sasa kama angekuwa hana kichwa angecheza mpira?
 
Sweden toa Lindeloff weka Sebastian Larsson

Sikatai larson alikua mzuri akiwa celtic, manutd na Barcelona amefanya mengi sana mazuri ila huyu lindelof amaeanza kuonesha kipaji kizuri sana akiwa mdogo na kwa sasa ndo mchezaji bora wa sweden tena anacheza nafasi ya beki.
Najua kuna watu wazuri kama Freddie ljunberg na kalstrom na pengine Henrik larson ila kumbuka haya ni maoni yangu binafsi.
 
Huyu mchezaji wakati anacheza Malaga na kumuweka bench Fabregas national team nilikuwa siijui shughuli yake,nilimuona world cup dah huyu Carzola ni hatar,yaan mtu anayemkaba hajui atapigwa chenga na mguu gani,kona ikikaa upande huu anapiga na kulia ikiwa upande mwingine anapiga na kushoto na huoni tofauti sema tu injury zimemsumbua sn ila namkubali sn.
Mchezaji aina ya Santiago carzola
 
Yes Nedved ni moja ya wachezaji wachache waliowahi kupata standing ovation ya pale Santiago Bernabeu,alikuwa mtu hatari sana wakishirikiana na Alesandro del Piero pamoja na Fabio Canavaro pale Juventus.
Ni dhambi kubwa sana kwa mungu wa mpira hilo jina kuwekwa pembeni.

Kwa walioangalia UEFA ya 2003 anaitoa Barca ya Figo, then anaitoa Madrid ya Ronaldo de Lima wanaweza kukurushia mawe mpaka uzimie.
 
Huyu mchezaji wakati anacheza Malaga na kumuweka bench Fabregas national team nilikuwa siijui shughuli yake,nilimuona world cup dah huyu Carzola ni hatar,yaan mtu anayemkaba hajui atapigwa chenga na mguu gani,kona ikikaa upande huu anapiga na kulia ikiwa upande mwingine anapiga na kushoto na huoni tofauti sema tu injury zimemsumbua sn ila namkubali sn.

Halafu anakua kama anacheka kila saa kama Ronaldhno Guacho. Kuna beki zimekula matobo sana pale Epl 🤣
 
Yes Nedved ni moja ya wachezaji wachache waliowahi kupata standing ovation ya pale Santiago Bernabeu,alikuwa mtu hatari sana wakishirikiana na Alesandro del Piero pamoja na Fabio Canavaro pale Juventus.

Jamaa alikuwa anajua, na shangilia yake ilikuwa inasababisha muda wote nione akifunga.

Wakati wanampiga Madrid 3 - 1 nilishangilia sana mpaka kidogo nilale nje.
 
Ha hahaaa,yani yule jamaa ukimuangalia anavocheza anakufanya uamini mpira ni kitu rahis sn kucheza,jamaa ni amongst few decorative players waliowahi kutamba epl
Halafu anakua kama anacheka kila saa kama Ronaldhno Guacho. Kuna beki zimekula matobo sana pale Epl
 
Hatari mkuu,kuna vitu hawa malegend walikuwa navyo kwenye mpira wa sasa vimetoweka kabisa hadi unapocheki soka unawamiss aisee

Miaka ile Football ilikuwa watu wanalinda Brand ya Team, siku hizi wachezaji ni Brand, kwa hiyo wanalinda Brand zao zaidi kuliko team.

Kwa hiyo watu wanacheza kwa kuangalia personal interest kwanza, kama interest ni ndogo hata kujituma kunapungua.
 
Ni kweli kabisa huku tunapoelekea football inapoteza ile dhana yake ya burudani,soka la kisasa limekaa kibiashara zaid ndio maana matajiri wakubwa wamevamia kuwekeza huko. Sasa tajir yuko after profit timu hata ikiflop atanunua nyingine inayofanya vizuri.
Miaka ile Football ilikuwa watu wanalinda Brand ya Team, siku hizi wachezaji ni Brand, kwa hiyo wanalinda Brand zao zaidi kuliko team.

Kwa hiyo watu wanacheza kwa kuangalia personal interest kwanza, kama interest ni ndogo hata kujituma kunapungua.
 
Miaka ile Football ilikuwa watu wanalinda Brand ya Team, siku hizi wachezaji ni Brand, kwa hiyo wanalinda Brand zao zaidi kuliko team.
Kwa hiyo watu wanacheza kwa kuangalia personal interest kwanza, kama interest ni ndogo hata kujituma kunapungua.

Ndo kinachowatafuna Man utd pia hichi. Wachezaji wa kisasa wamekua hovyo mnoo ile morali na jihad ya uwanjani hakuna kabisa sikuhizi. Players used to play for the shirt yaani ilikua hadi raha kutazama ila sikuhizi ni wachache sana wanajituma kama malegend wa zamani.
Ni pengine ndo sababu tumekua na Ronaldo na Messi kwa muda mrefu maana wao wanaile mentality ya kujituma sana. Umeona kama Messi plays for the shirt hata siku Barcelona ikifungwa utamuona tu kanuna sana na game inayofuataga lazima awanyooshe haswa halafu Ronaldo plays jihad anawork rate kubwa sana linajituma mwanzo mwisho
 
Czech republic kuna mtu alikuwa anacheza Juventus Turin anavaa namba 11

mshindi wa balon d'or 2003 alitakiwa awe wa kwanza hapo

Pavel Nedved anawapiga goli Madrid halafu analia nusu fainal uefa
Mguu wake wa kushoto una nguvu kama wa kulia mpaka anastaafu hajulikani anatumia mguu gani
Nalikumbuka lile goli .
 
Back
Top Bottom