Top Ten footballers Tanzania ever produced


Bravo man, ila maoni yangu ni kuwa badala ya Omari Hussein weka the best right-winger of all time, ni mchuano mkali kati ya Willy Mwaijibe na Leonard Chitete. Hawa wawili walikuwa wakali kuliko 'Keegan'.
 
 



Naomba nikulekebishe kidogo Mkuu,

Sio Muhamed China ni Athuman China (Athuman Abdallah Mchabwa)
Unajua kama mambo huyajui bora uyaache ya pite,wachezaji weyu wa kipindi hicho walikua na uwezo na baadhi yao (China) waliweza kufika huko ambako wewe unahisi hawawezi kufika.
Kama jambo hilo lilikupita na hukifahamu la mchezaji huyo kucheza huko UK,ungeuliza hata kwa wakubwa zako waliokuwapo kipindi hicho.
Huyo mchezaji alicheza timu ya Daraja la pili inaitwa Wolsoe (sidhani kama spelling ziko sawa)
Au kwa kukurahisishia nenda kwenye blog ya michuzi,yeye alikua karibu na huyo mchezaji muulize kuhusu hilo.
 
 

Alicheza Walsall mechi 5 tu. Sijui ikatokea nini.

 
 
Thanks FMES Kwa kukumbuka wakati ule naona majina mengi ya wadau waliyoyatoa ni vijana wa enzi za mwaka 90 na kitu.....Kuna mchezaji anaitwa MWINDA RAMADHANI(MAAJABU) alikuwa anachezea Yanga...Maana alikuwa one chance one goli kwa kweli ni mhezaj mzuri sana ambaye tulikuwa na alikua mchezaji wa timu ya taifa ya kuaminika na alikuwa kocha wa yanga pia...Hata ukigoogle MWINDA RAMADHANI utamuona......Pamoja bandugu!
 
 
Charles Boniface Mkwasa MASTER
Abeid MZiba Tekero
Celestine Mbunga Sikinde
Ooctavian Mrope
Juma General Mkambi
Justine Simfukwe
Dua Said
Mohammed hussein Mmachinga
Athuman juma Chama
 
 
Sawa FMES, historia nzuri. nakubaliana na wewe na mashindano ya UMISETA.
Lakini tayari kwenye thread yako unaongelea uvivu wetu wa mazoezi enzi hizo. Kuhusu Tanzania kwenda Kombe la Africa au All Africa Games sijui, wali qualify vipi (maana am led to believe qualification system was different back then to now)? And who were the footballing nations at the time? Ukute nchi nyingi za Africa hazikuwa organised (coming from colonial rule). Hizo timu za England zilizokuwa zinakuja TZ, je hazikuenda nchi nyingine? Look, lets have a critical analysis and not only one sided.

Wachezaji wenye potential wapo Tanzania hadi leo hii, we nenda tu kwenye Yosso yoyote au watoto wakicheza mtaani, talent ipo plenty. True, UMISETA was one of the best systems we ever had. Siamini kwamba wachezaji wa zamani were so much better than what we have today. Katika pekua pekua leo hii nimekuta interview ya Juma Pondamali kwenye blog ya bongostarz amemsifia Edibily Lunyamila....kitu ambacho nilikuwa nasema hapa kwamba Lunyamila was something else. You only need to read that interview to see how unprofessional and cocky Juma Pondamali was......typical of african players who are uncoached, the idea is to entertain without end product (ndio mambo ya magoli mwatufunga, chenga twawala).

Mkuu, bila ya kunionyesha video ya 70s au early 80s, I wont buy it, especially nikona vituko kama hivi.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=aYDXkVGpMpc"]Brazil vs Zaire 1974[/ame]​
 
 
Weee jinga kweli,Tanzania wameingia kombe la Afrika 1980,kwa mtindo huu huu wa mashindano ya kisasa labda kipindi hicho ulikuwa huko kwenu ikombandulu,ulikuwa bado hujakanyaga DSM si unajua wengine mmeletwa kwa ankal.
 
Weee jinga kweli,Tanzania wameingia kombe la Afrika 1980,kwa mtindo huu huu wa mashindano ya kisasa labda kipindi hicho ulikuwa huko kwenu ikombandulu,ulikuwa bado hujakanyaga DSM si unajua wengine mmeletwa kwa ankal.
We Mauza uza kweli, unashindwa argument unaongea pumba. Sasa nikikwambia mi mzaliwa wa Dar utasemaje (and what is so special about Dar you plonker?)? We UMISETA imekufundisha nini zaidi ya matusi (by the way, hata mimi UMISETA niliitwa kambi na sikwenda.....na sijaona bigi dili)?

Nimeuliza makusudi kuhusu system ya qualification. Kasome historia ya kombe la Africa, utaona kwamba hadi 1992, fainali zilikuwa zinachezwa ki-ligi na group mbili 2 za timu nane. Top 2 teams wanaenda straight to semi-final. Siku hizi Africa timu karibia zote, lets say 54 for arguments sake, zinashiriki preliminary rounds....zamani 70s, 80s only about 22 teams did preliminary rounds, zitoe timu 8 zicheze fainali (which means u only had to knock-out someone once or twice to get to the final), which means timu kubwa hazikutani knockout, hadi final competiton yenyewe. Now, ukiangalia system hii utaona Tanzania kufika fainali once, with the cup being played every 2 years is a poor stat and record NOTE: Cameroun wameanza kuwa major players in the 1980s. I am not undermining the achievement at all of 1980. Now wewe mwenye akili Mauza uza, na mkuu FMES, mnaweza kuona qualification siku hizi ni ngumu zaidi (though not an excuse not to do well). Zamani ilikuwa ni knockout system......kitu ambacho hata timu mbovu inaweza kufika mbali kama siku hiyo mmepania. Angali mfano wa mashindano ya FA Cup yanavyokwenda, hadi timu za daraja la 4 zinaweza kutia aibu timu ya Premiership. Siku hizi unaweza kujikuta qualification group na Ghana au Nigeria.

Now, Mauza uza, take your words back of calling me mjinga, cos i) by you not knowing the history of the cup shows that we mjinga kweli ii) I may be younger, but it dont mean i take an argument on face value....chances are kama akili inapimwa darasani, hata huko nitakufunika iii) wewe johny come to town, kuishi Dar ndo unadhani umeona dunia. Hahaaaa samu pipo bwana unigambile kabisa.

Mkuu FMES, thanks for a great argument and history lesson, ila kuwa-discount wachezaji wa siku hizi, inabidi ufanye fair balance. Na ingawaa una argue wachezaji wa zamani wana skill zaidi (kitu ambacho naona illogical, as skills dont jus dissapear from a nation), lakini walikuwa wavivu au wanakosa discipline fulani. Ndio nikasema argument yangu, ndio maana our greats kina Manara hawakufika mbali Ulaya. No notable success whatsoever.........because football is not about skills only.
 
Tupeni list ya majina ya watanzania wanaocheza mpira nje ya Tanzania. Hapo ndio tutaweza kulinganisha.
 
I have always stood by my argument, and the proof is here. It is a FARCE that the teams in the 60s,70s,80s were better.

FMES umetupiga kamba kwamba Tanzania/Tanganyika ilikuwa inatawala Gossage Cup na Challenge Cup (CECAFA). From recent times I know of CECAFA win in 1994. Kabla ya hapo Timu imeshinda 1974.


East and Central African Championship (CECAFA) HISTORY Kongoli hapa kushoto...

History ya Gossage cup from 1926 to 1966
;

Number of Titles (38 (37 tournaments)) Gossage Cup

22 Uganda (1 shared)
12 Kenya (1 shared)
4 Tanzania (includes Tanganyika)

Palmares Challenge Cup (1967 - 1971)
Number of Titles (5)

3 Uganda
2 Kenya

Palmares CECAFA Championship (1973 - 2009)
Number of Titles (32) - (Hapo chini mabano ni runners up)

10 [ 5] Uganda
5 [ 6] Kenya
4 Ethiopia
3 [ 4] Zambia
3 [ 3] Malawi
2 [ 5] Tanzania
2 [ 3] Sudan
1 [ 3] Rwanda
1 [ 2] Zimbabwe
1 Zanzibar
[ 1] Burundi

I am not even going to bother look at the WC or African Nations qualifications as I have already said the 1980 was not impressive because of the qualification system. But I will let you digest the stats yourself even though it is on Wikepedia...........

[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania_national_football_team"]TAIFA STARS[/ame]

As Jigga Man said "Numbers dont lie"!!
 
1.Juma Kaseja
2.Shadrack Nsajigwa
3.Juma Jabu
4.Salum Sued
5.Nadir Haroub Kanavaro
6. Athuman Idd Chuji
7.Mrisho Ngassa
8.Shaban Nditi
9.Haruna Moshi Boban
10.Mussa Mugosi
11. Mwakingewe


Imekaaje hiyo?Kizazi kipya
 


Guys,

Everyone will come up with his list, our problem we don't have statistics to justify our selection, sasa kama unataja top ten yako bila kutoa vigezo inakuwa utata.
Kwa mfano tumchukulie Hamis Thobias Gaga, lazima uje na vitu kama hivi
a. Mchezaji kacheza game ngapi za ushindani
b. Ngapi alianza na ngapi kaingia kama sub
c. Kafunga magoli mangapi, na ameassist magoli mangapi katika position yake.
d. Position alizocheza akiwa uwanjani
d. Complete pass ni ngapi, Tackles fyongo ngapi na sahihi ni ngapi
e. Red cards, Yellow etc...

Sasa hapa kila mtu anakuja na list yake kutoa vigezo inakuwa shughuli. kwa hiyo mi naona bila guide tutakuwa tunapoteza muda tu. Labda tungepata mwana JF aliye TFF atueleze kama wana records za hawa wachezaji.

Juzi niliuliza swali dogo tu, Yupi ni Tanzania Premiership Top scorer ever? hatujui hata TFF sidhani kama wana record hizi.

Suggestions:-

TFF anzeni kuweka kumbukumbu, hadi hizi kadi tu huwa zinatela utata mara kwa mara kwa mfano nani ana kadi nyekundu nyingi Simba anayeshika record? (Mnazo lakini sidhani kama zinakidhi viwango vya kimataifa)

Club anzeni pia kuweka zetu pia, fungueni vitengo vya mawasiliano kwa njia ya komputa ICTwatu wapo kibao wa kuwafanyia design na implemtation ya hizo database, ni muhimu sana kwa soccer la kisasa.

Wachezaji binafsi pia anzeni kuweka record zenu, kwa mfano nikimuuliza Kaseja sasa hivi amecheza game ngapi, Clean sheet ngapi tangu aanze kucheza ligi, ngapi anazo alipokuwa yanga, na anazo ngapi muda wote akiwa Simba, ataniambia nimpe muda atafute.
Unapotaka kucheza soka la wenzetu, swali la kwanza utaulizwa ni Umri na Pili ni data hizo zote nilizozitolea mfano as your C.V.

I think its time now to implement ICT in soccer, najua zipo ila siyo strong ki vile.
 


- Mkulu Nzoka, nilicosema ni kwamba enzi hizo wechezaji wetu walikuwa na uwezo wa kushinda Challenge na ubingwa wa East Africa, as opposed na wachezaji wa sasa, halafu nikasema tena kwamba wachezaji wa zamani walifika hata robo na nusu finali za vilabu Africa na hata waliweza kufikia finali ya Africa kwa National teams.

- Sasa kinachochekesha ni kwamba umetoa dataz amabzo zinathibitisha maneno yangu kuwa ni kweli, lakini bado hutakikukubali kwamba wachezaji wa sasa wameshindwa kuleta anything, vipi mkuu maana sasa ninashindwa kukuelewa argument yako ni nini hasa, kwani walioshinda hivi vikombe hapa chini ni wachezaji wa sasa au wa zamani mkuu? Acha hizo wewe unaongelea google, wakati sisi tulikuwepo mkuu vipi?





- Mkuu Nzoka wachezaji wa zamani waliweza kushinda atleats 6 times, je wa sasa wameshinda mara ngapi? Si unaona hapo juu ilivyo aibu mkuu?

Respect.


FMEs!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…