Top Podcasts in Tanzania

Top Podcasts in Tanzania

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Habari za mchana wadau,
Nilikuwa katika pilka zangu mtandaoni, nikajiuliza kama kuna mtu/wadau wanaofanya podcasting hapa nchini? Je, soko/hitaji la podcasting likoje? Ni swali tu, kama kuna mtu anayeweza kunisaidia, ntashukuru mno...
 
Wengi wanatumia YouTube accounts kufanya podcasting

podcast

/ˈpɒdkɑːst/

noun

1.

a digital audio file made available on the Internet for downloading to a computer or mobile device, typically available as a series, new instalments of which can be received by subscribers automatically.
 
Asante dafity Kuna watu wana dedicated websites kwa ajili ya hii.
Wengi wanatumia YouTube accounts kufanya podcasting

podcast

/ˈpɒdkɑːst/

noun

1.

a digital audio file made available on the Internet for downloading to a computer or mobile device, typically available as a series, new instalments of which can be received by subscribers automatically.
 
Habari za mchana wadau,
Nilikuwa katika pilka zangu mtandaoni, nikajiuliza kama kuna mtu/wadau wanaofanya podcasting hapa nchini? Je, soko/hitaji la podcasting likoje? Ni swali tu, kama kuna mtu anayeweza kunisaidia, ntashukuru mno...

namfaham mmoja Ecejay na kipindi chake cha #SalamaNa chenye jina la #YahStoneTown
 
Nipo ni wewe tu useme ,nadesign website ambako unaweza unda podcasting website kama Spotfy means unapakia audio,mtu anakuja anasikiliza online na kuipakua,pia ninaweza kuweka sponsor page,donations forms,

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Asanteni. Ila @psiteshio nilichohitaji ni kitu kama spotify but done kusuit market ya Bongo. coz podcasting ni taabu. I wanted mtu ana product kama spotify ambayo inafit local needs
 
Back
Top Bottom