fikiria kujiajiri, kutafuta kampuni kubwa kama hupati walau dola 8,000 kwa mwezi take home basi andika umesign form za umaskini. wanaofaidi ni international staff sababu wanalipiwa nyumba, usafiri, matibabu, shule kwa watoto wao na pesa ya kujikimu then mishahara yao yote inaenda kwao.
Yaani wao mshahara ni pure saving..... sasa wewe ndugu yangu hata ukienda USAID utapata hizi hizi 3 - 4m kwa mwezi sasa weka utitiri wa matatizo uliyonayo hapo saving unajikuta ni 0%.
Jiajiri ndugu yangu hata ukipata faida ya laki kwa siku huo unakuwa mwanzo mzuri na siku moja unaweza kuwa na kampuni kama hizi unazozitaka kuajiriwa nazo.
Mkuu!! kumbe unlipwa 3.5m Take Home. Asante kwa info
Angalieni watu mtafuatwa kukopwa mkitaja mishahara yenu mikubwa hapa! Mujue tumo humu ndani tunaolipwa kiduchu kabisa!
Tanroads,tra,bot
International based Audit firms are also good.
Your own Company is the best one!!!!
He he he! Swali nzuri sana.
Mimi nimegundua the best Company is the one which you dont work with.
The worst is the one which you work For.
mbona "aitel" hamuitaji mwe!
are these companies or "Mashirika ya Umma"! ...kidogo CRDB (lakini nao wanaijua EPA) lakini wengineo they do not run their activities basing on Profit and Ross principles bali wana fixed budget ya kuwalipa wakurugenzi waliozalisha loss pension ya 500m.Tanzania national park(tanapa),TCRA,LAPF,NSSF,PPF,BOT,CRDB
Mantrac Tanzania LTD. WANALIPA VIZURI NA WANAJALI MFANYAKAZI
Unazungumzia SPANCO hawa waliowalipa kastama kea tarehe 57 ya mwezi au wengine...??? Au unawasema wale wanaolipa Tshs. 250,000/= mshahara kwa hawa wapya...??? Maana hao wa wa zamani wana nafuu kwa vile walihamia huko toka Airtel na mishahara yao........ sasa hao waajiriwa wa sasa ................. ndo wanakula huto tu laki mbili na nusu................Sema mbona SPANCO hatuitaji... au wewe bado upo airtel ???Welcome to Spanco
Unazungumzia SPANCO hawa waliowalipa kastama kea tarehe 57 ya mwezi au wengine...??? Au unawasema wale wanaolipa Tshs. 250,000/= mshahara kwa hawa wapya...??? Maana hao wa wa zamani wana nafuu kwa vile walihamia huko toka Airtel na mishahara yao........ sasa hao waajiriwa wa sasa ................. ndo wanakula huto tu laki mbili na nusu................