fikiria kujiajiri, kutafuta kampuni kubwa kama hupati walau dola 8,000 kwa mwezi take home basi andika umesign form za umaskini. wanaofaidi ni international staff sababu wanalipiwa nyumba, usafiri, matibabu, shule kwa watoto wao na pesa ya kujikimu then mishahara yao yote inaenda kwao.
Yaani wao mshahara ni pure saving..... sasa wewe ndugu yangu hata ukienda USAID utapata hizi hizi 3 - 4m kwa mwezi sasa weka utitiri wa matatizo uliyonayo hapo saving unajikuta ni 0%.
Jiajiri ndugu yangu hata ukipata faida ya laki kwa siku huo unakuwa mwanzo mzuri na siku moja unaweza kuwa na kampuni kama hizi unazozitaka kuajiriwa nazo.