Top Five companies to work for in Tanzania apart from the UN

kwa navyosikia ni barrick,precision air,tbl na dt diobbie.
kiukweli kampuni ikiwa huifanyii kazi utaona inalipa au watakwambia wana maslahi mazuri,na kwako unaona bado.ila ki ukweli zinakua nzuri ukizisikia ila ukiziingia inaweza kukuboa.

Haiwezekani hawa jamaa kila baada ya miezi kadhaa post zilezile wanatangaza upya!
Precission hamna kitu na uwakika huo na ushahidi upo!
 
kwa navyosikia ni barrick,precision air,tbl na dt diobbie.
kiukweli kampuni ikiwa huifanyii kazi utaona inalipa au watakwambia wana maslahi mazuri,na kwako unaona bado.ila ki ukweli zinakua nzuri ukizisikia ila ukiziingia inaweza kukuboa.

Haiwezekani hawa jamaa kila baada ya miezi kadhaa post zilezile wanatangaza upya!
Precision hamna kitu na uwakika huo na ushahidi upo!
 
Hi

I beg to differ... Barrick gold tena?!!! naona hawa watu walishindwa kunilipa 3.8 M net ( i'm an MBA holder and with almost 8years working experience) while where i was working by then while applied to Barrick i was getting 3.5 M net... Jamani Barrick tena?!! Eti they wnated em to work for them at 2M net......... mhhhh!

Does this qualify you to call yourself an MBA holder? I wonder?
 
Wana jamii,
Ningependa kusikia ushauri wenu kuhusu best companies to work for in Tanzania. Hii ina include salary, benefits, employee development, etc.

Mkuu kwa Tanzania hakuna vigezo ambavyo vinaweza kukubalika kiurahisi kwamba hizo kampuni ni bora kwa sababu huangalii tu maslahi ya wafanyakazi bali pia corporate responsibility, jinsi wanavyoajiri na mambo lukuki. Bado tupo mbali ukilinganisha na wenzetu wanapokupa top 100 or more kwenye nchi za magharibi.
 
To list Few
  • PWC(Price water house coopers)
  • Africa Barrick Gold ( Though ni kwa wenye good experiance wengine wana suffer)
  • TANAPA
  • TANCAN LIMITED
Pihu ndio maana walikunyima hiyo pesa kwa lugha hiyo lazima uli fail
 
Barrick gold company ltd is the best company to work for because it's found worldwide,has the best salaries,safety of the workers is their priority and has one of the best equipments which makes the work easier etc...
Barrick is not one of the top 5............ story za mitaani ndo zinawadanganya............... Nilishafanya KMCL by then na ninajuwa nini maana SUGUTI (EN)......... DION................ ANDREW KING ..................NA ILE MIKABULU YOTE...................... BILA KUMSAHAHU MARCUS.......... TULIMGOMEA.................. KAMPUNI INAWEZA IKAWA NZURI LAKINI IKAHARIBIWA NA BAADHI YA WATU............... KINACHOTOKEA MAKAO MAKUU YA BARRICK ......... HAKIWEZI KUKUSAIDIA WEWE UNAYENYANYASWA NA SUGUTI HUKU TZ
 
Wana jamii,
Ningependa kusikia ushauri wenu kuhusu best companies to work for in Tanzania. Hii ina include salary, benefits, employee development, etc.
It seems cronique you are not serious at least you could have listed your area of interest or your qualifications, sasa hapa kila mtu atakutajia kampuni anayoona yeye ni nzuri mwingine atasema ya ujenzi mwingine ya ulinzi mwingine ya meli nk nk sidhani kama una hizo qualifications zote.
 
hakuna lolote kwene hizo mbili..
mishahara ya barrick na tcc yote ni ya kawaida kabisa,
hata other benefits sizo nyingi,..yaani nikiamini mwajiri bora hulipa vizuri.
 
To list Few
  • PWC(Price water house coopers)
  • Africa Barrick Gold ( Though ni kwa wenye good experiance wengine wana suffer)
  • TANAPA
  • TANCAN LIMITED
Pihu ndio maana walikunyima hiyo pesa kwa lugha hiyo lazima uli fail

hiyo ya kwanza inaitwa PricewaterhouseCoopers na ni sehemu nzuri sana ya kujifunzia kazi ukiwa fresh graduate,nothing more.
nimesikia pia sana kuhusu tanapa kuwa dereva anaweza kuwa anapokea mshahara wa bosi mkubwa tu kwene hivi vikampuni uchwara hapa dar es salaam.
 
Sante kwa kunirekebisha....Barrick bana kuna vitengo na vitengo ndio wanatoa pesa nzuri ikiwa dar office hapo safi sana...na sites...kuna vitengo ...ingawa maamuzi mengi yanatoka Dar office.To list few departments...HR,Legal,Purchesing,Accounts,warehouse Hapo pako sawa.
Ila HR inategemana na Site.

Twende kwenye Best company...best company tukiangalia kwenye malipo tunakuwa hatujamaliza best company...wala hatujapata kabisa.
Tunaweza angalia kwenye

  1. Employee development,
  2. Saraly(Iwe inaongezeka kulinga na Juhudi na kusiwe na bias)
  3. Work Environment
  4. Organization set up..kama iko wazi kwa kuweza kupandishwa cheo.
  5. Kama kuna bonus system baada ya kutimiza malengo.
Tatizo tunaangalia sana mshahara...ndio tunamaliza unaweza pata take home 2 milion lakini manyanyaso kazini,kutoheshimika hakuna maendeleo..unao fanya nao kazi wamekata tamaaa.....nini sasa nin kufanya kazi...!!

Haraka ya mshahara mkubwa inapelekea kusign mkataba wakati hujui company ina operate vipi.
 
Best employer of the year mwaka jana ilikuwa TCC - Tanzania Cigarette Company
na kuna vigezo vingi sana ambavyo vilitumika kuipa ushindi hii kampuni.
Baadhi ya hivyo vigezo ni: Gender, Training and development, HIV related issues, Employee relation, safety, employees' welfare etc.

Ukitumia mishahara kutafuta kampuni bora inakuwa ngumu sana kujua ipi ni kampuni bora, just bcoz mishahara mara nyingi haiwi disclosed na makampuni husiki au wafanyakazi. So Association of Tanzania Employers (ATE) hutumia vigezo tajwa hapo juu kati ya vingi vitumiwavyo kuchagua kampuni bora ya mwaka
 
I agree TCC are the best bcoz they even give their retired workers ARV's and home care

In engineering field TANESCO is the best as they have 0 turnovers which is an indicator of stability and they have the highest number of workers than anyother entity

Barrick is not the best as they have high turnovers and continually changing goalposts

For consulting Delloitte is best as they have stability

For public entities TRA is the best as they are ISO certified

For agencies (govt ) EWURA tops it all as they got an international recognition

Others are the likes of NSSF and few serious private firms
 
Kwa wanaopenda health-related research Ifakara Health Institute ni pazuri. Malipo si mabaya na wanajitahidi sana ktk career development.

Hivi mtu mwenye Masters (for example ya molecular biology) anapata ngapi hapo na ni pazuri kuliko NIMR au CDC?
 
Tanzania national park(tanapa),TCRA,LAPF,NSSF,PPF,BOT,CRDB

Green: Siyo Best working Organization kwa sababu hakuna usawa na hakuna mifumo mizuri ya ajira, Upendeleo na kujuana ndo vina-lead mtu kupata kazi hapo na sio qualification

Red: Ufisadi mwingi unfanyika huko, so kwa mzalendo kama mimi am not happy kufanya kazi sehemu ninayoshuhudia ukianzia hapo.

Blue: Ukabila mwingi bila kujali qualification. Yaani hapa ndo hata utashuhudia wanaongea kilugha pale customer care.

My Take:
Jiajiri uachane na maswali kama hayo!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom