Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
kwa navyosikia ni barrick,precision air,tbl na dt diobbie.
kiukweli kampuni ikiwa huifanyii kazi utaona inalipa au watakwambia wana maslahi mazuri,na kwako unaona bado.ila ki ukweli zinakua nzuri ukizisikia ila ukiziingia inaweza kukuboa.

Hi
I beg to differ... Barrick gold tena?!!! naona hawa watu walishindwa kunilipa 3.8 M net ( i'm an MBA holder and with almost 8years working experience) while where i was working by then while applied to Barrick i was getting 3.5 M net... Jamani Barrick tena?!! Eti they wnated em to work for them at 2M net......... mhhhh!
Wana jamii,
Ningependa kusikia ushauri wenu kuhusu best companies to work for in Tanzania. Hii ina include salary, benefits, employee development, etc.
Barrick is not one of the top 5............ story za mitaani ndo zinawadanganya............... Nilishafanya KMCL by then na ninajuwa nini maana SUGUTI (EN)......... DION................ ANDREW KING ..................NA ILE MIKABULU YOTE...................... BILA KUMSAHAHU MARCUS.......... TULIMGOMEA.................. KAMPUNI INAWEZA IKAWA NZURI LAKINI IKAHARIBIWA NA BAADHI YA WATU............... KINACHOTOKEA MAKAO MAKUU YA BARRICK ......... HAKIWEZI KUKUSAIDIA WEWE UNAYENYANYASWA NA SUGUTI HUKU TZBarrick gold company ltd is the best company to work for because it's found worldwide,has the best salaries,safety of the workers is their priority and has one of the best equipments which makes the work easier etc...
It seems cronique you are not serious at least you could have listed your area of interest or your qualifications, sasa hapa kila mtu atakutajia kampuni anayoona yeye ni nzuri mwingine atasema ya ujenzi mwingine ya ulinzi mwingine ya meli nk nk sidhani kama una hizo qualifications zote.Wana jamii,
Ningependa kusikia ushauri wenu kuhusu best companies to work for in Tanzania. Hii ina include salary, benefits, employee development, etc.
To list Few
Pihu ndio maana walikunyima hiyo pesa kwa lugha hiyo lazima uli fail
- PWC(Price water house coopers)
- Africa Barrick Gold ( Though ni kwa wenye good experiance wengine wana suffer)
- TANAPA
- TANCAN LIMITED
hiyo ya kwanza inaitwa PricewaterhouseCoopers na ni sehemu nzuri sana ya kujifunzia kazi ukiwa fresh graduate,nothing more.
nimesikia pia sana kuhusu tanapa kuwa dereva anaweza kuwa anapokea mshahara wa bosi mkubwa tu kwene hivi vikampuni uchwara hapa dar es salaam.
I disagreeTanzania national park(tanapa),TCRA,LAPF,NSSF,PPF,BOT,CRDB
Best employer of the year mwaka jana ilikuwa TCC - Tanzania Cigarette Company
na kuna vigezo vingi sana ambavyo vilitumika kuipa ushindi hii kampuni.
Baadhi ya hivyo vigezo ni: Gender, Training and development, HIV related issues, Employee relation, safety, employees' welfare etc.
Ukitumia mishahara kutafuta kampuni bora inakuwa ngumu sana kujua ipi ni kampuni bora, just bcoz mishahara mara nyingi haiwi disclosed na makampuni husiki au wafanyakazi. So Association of Tanzania Employers (ATE) hutumia vigezo tajwa hapo juu kati ya vingi vitumiwavyo kuchagua kampuni bora ya mwaka
Kwa wanaopenda health-related research Ifakara Health Institute ni pazuri. Malipo si mabaya na wanajitahidi sana ktk career development.
Tanzania national park(tanapa),TCRA,LAPF,NSSF,PPF,BOT,CRDB