Top 20 best comments ever in jukwaa la siasa august 2017

Kasinja jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2017
1,034
1,792
Wanajamii mwezi wa nane nimepitia comments nyingi katika threads mbali mbali za kisiasa, nikaona Bora nianzishe kipindi maalumu kila mwisho wa week Na mwezi kuweka orodha ya comments zilizofikiriwa ki great thinker, kila jukwaa ntafanya hivyo naweka top 20 tu za

Inasikitisha sana tunapojadili hoja kwa ushabiki,Jingalao jibu kwa hoja.Mnayemshabikia anapoteza credibility kila siku ! Narudia tena JPM HAKYWA NA VISION YA KUWA RAIS,ILA ANA NIA YA KUIJENGA TZ,SASA NIA NA UWEZO NO VITU VIWILI TOFAUTI,! Inasikitisha kuwa kila akigusw JPM mnalinganisha na LOWASAZ,SISI TUNATAFUTA IONGOZI BORA ! LOWASA ILIKUWA NI HATUA YA AWALI KUMNGO"A MKOLONI MWEUSI CCM!
M

Huyu mzee anafaa sana kukaimu nafasi ya baba wa taifa.
akimsema hashimu rungwe alipomkosoa magufuli

Wamejitwalia Mali na wilaya ya muleba
akijibu kuhusu mpango wa wanyarwanda kuhamia hovyo tanzania

kuna muhimili umejichimbia na kujikita kwa kwenda chini.....

Swali la kujiuliza ni kuna haja gani ya kuwa hata na chaguzi ilhali tunajua kabisa mwisho wa siku CCM ndo atatangazwa mshindi?

Kesi ya kughushi nyaraka za usalama sio issue, issue kesi za mikojo ya kina lissu

Kudhibiti Maandamano

Si umeona Leo Tundu Lissu na Hellen Kijo kisimba wameandamana wakiwa wameshika Mabango ndani ya Fence ya LHRC ingekuwa zamani ingekuwa Vurugu Mji Mzima

Maandamano yalianzia ndani ya Fence na yakaishia ndani ya Fence hiyo hiyo

Ndo maana mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa aliwaambia kuwa upinzani uliopo ndani ya vyama vya upinzani ni mkubwa kuliko kati ya vyama na ccm chama tawala

Huyu jamaa nafasi ya juu kabisa ambayo ingemstahili ni kuwa mnyapara wa kujenga barabara......OVA
By Kingunge Ngombale Mwiru

Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!

I can't imagine mpaka imekuwa normal sasa Dsm kuongozwa na MHALIFU wa Taaluma.

Fake account halafu huyo mwenyewe mwenye hiyo account ni zuzu+, account name @Tundulissu, aliyecoment @Tundulissutz kisha anajidefend kwa kusema sina account Twitter wala Facebook na wakati huohuo katumia account ya Twitter kureply.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hukumbuki maneno ya Maalim Seif alisema msimuone Kikwete aanachekacheka ana roho mbaya kweli yule, ushuhuda mwingine ni yale yaliyotokea kwenye jina la Lowasa. Niambie upole wa Kikwete uko wapi?

Habarini.

My take:
Mikoani tujiandae,hatachomoka mtu. Maghorofa yanashushwa Dar.




 
Huu ndio u great thinker wako?

Hovyo sana mleta mada

Its professional rubbish

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Back
Top Bottom