Top 10 world philosophers

Socrates hayupo basi I'm against
1. Socrates

Huyu jaama ni miongoni wanafilosofia mkubwa sana "greater thinkers philosophers" aliyepata kuishi miaka 2,300 iliyopita katika ugiriki ya kale.

Na katika kipindi chake cha maisha ndio hapo binadamu wakaanza kuelewa nakuhoji kuhusu dunia na kila kilichomo ndani yake, huyu Jamaa alifanya binadamu kuanza kuuliza na kufikiri mfano, binadam alianza kuhoji ? why water is wet and fire is hot, how animals and plants grow and why men think and act as they do. Soctrates yeye mwenyewe ndo aliyeanza kujiita philosophers akiwa na maana upendo wa hekima 'kiufupi alikua ni mtu aliyefanya binadam kujitambua na kuanza kuhishi kwa kuhoji .PLATO alikuwa ni miongoni mwawanafunzi wake Socrates. Socrates ndio mtu aliyeanza kufundisha watu alikwenda sokoni na katika mikusanyiko ya watu akifundisha kuhusu haki za binadam na ubora wa kila mtu .Ndo hapo akasema "in order to make the people realize how little they knew and how diligently they must study,

Watu wakahoji na kupata ufamamu mwisho wakaja kuogopa mafundi ya jamaaa wakisema kua maswali yake hayajibiki, hivyo kama asili ya nabii kukataliwa walimuua jamaa.

Alizaliwa mwaka 469k na hakuwai kuandika kitabu lakini wanafunzi wake akiwemo Plato aliakuja kuandika juu ya mafundisho ya socrates

katika vitabu viwili vya Plato alizungumzia sababu ya kwa nini alikubali kufa.

Soctrates alipewa sumu ya aina hemlock mwaka 399k nakupelekea kifo chake. na alikubalikunywa ingawa wanafunzi wake walijaribu kumtorosha akakataa sababu za kukataa Plato kazielezea katika vitabu vyake mke wake alijulikana kwa jina xanthippe ndie anayetumika Kama picha ya Soctrates katika Story zinazo mhusu.

huyu ndIo Soctrates alistahili kuwa namba moja.
 
Hiyo list yako Sina tatizo nayo, ila ningekuwa ndio Mimi nimeileta hawa jamaa nisingewaacha..

Socrates
Pythagoras
Homer
Any one among sophist
Jean Jacques Rousseau


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu softcopy ya hizo vitabu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…