President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,803
- 94,591
Na haya majimbo Yana black America wengi sanaKumbe, ndio maana wabongo wamejazana hapo Mississippi
Na haya majimbo Yana black America wengi sana
ππππBora kuzaliwa mbwa USA Kuliko kuzaliwa msela bongo
Na swali linakuja;Je,umasikini wao unauzidi wa hapa Ndevelwa Tabora,Kibhanchabhancha Mara au Kititimo Singida Tanzania?Kumbe, ndio maana wabongo wamejazana hapo Mississippi
Umasikini wao kwetu ni utajiri mara5Na swali linakuja;Je,umasikini wao unauzidi wa hapa Ndevelwa Tabora,Kibhanchabhancha Mara au Kititimo Singida Tanzania?
Kwa kweli........... huo umasikini ni kwa viwango vya US ukumbuke hilo. Kwa mfano, Mississippi imetajwa hapo; mwaka 2017 hilo jimbo lilikuwa na GDP ya USD 115.749 bilioni wakati Tanzania (kama nchi) ilikuwa na around USD 57.9 bilioni. Hizi takwimu lazima zisomwe kwa umakini na tahadhari kubwa.
Could we simply and quietly close the thread?Umasikini wao kwetu ni utajiri mara5
Low income yao $16,000 kwa mwaka ni sawa na Tzs 40 million. Hicho kiwago cha mtu mmoja tu bila mtoto.Na swali linakuja;Je,umasikini wao unauzidi wa hapa Ndevelwa Tabora,Kibhanchabhancha Mara au Kititimo Singida Tanzania?
Halafu anakuja kiumbe mmoja kavimbiwa vipande vya viazi mbatata anakuambia eti dunia nzima kuna umasikini,tuvumilie tu.Merde!Low income yao $16,000 kwa mwaka ni sawa na Tzs 40 million. Hicho kiwago cha mtu mmoja tu bila mtoto.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
tNa swali linakuja;Je,umasikini wao unauzidi wa hapa Ndevelwa Tabora,Kibhanchabhancha Mara au Kititimo Singida Tanzania?
Well said bro......t
Hapa kwetu umaskini umeanzia kwenye fikra
According to the U.S. Census Bureau, national poverty rate was 12.3 percent or 39.7 million Americans in 2017. These states have the highest percentages of poverty in the country: Louisiana, Mississippi, New Mexico, West Virginia, Alabama, Arkansas, Kentucky, South Carolina, Arizona, and Georgia.
View attachment 1086239
Pamona na Rednecks wengi piaNa haya majimbo Yana black America wengi sana