Top 10 Plastic Surgery Fails

Aisee
I'm proud the way I am

Na ht hawakomi/hawajifunzi
Wengine wanaona haya bt bado wanaendelea tu
 
Mkuu ukienda korea utashangaa sana, Korea ukipita hata barabarani au nenda kwenye salon hizi ambazo kuna wanawake, kati ya salon 3 ukikosa binti aliyefanya plastic surgery nidai hela. Miss Korea 2012 contestant wote walikua wamefanya plastic surgery, afu wote walikua wanafanana sura judges walipata wakati mgumu sana
 

uuuuuuuuwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Mungu hakosolewi jamani kaaaah!
 
Huku sio kutisha ni pamoja na kutia kinyaa



Always accept yourself as to who you are jamani khah
 
Ha ha haaaaaaaa.

Mi nahisi walikusudia kuwa hivyo. Imebidi nicheke tu
 

Dah!
Sijui huwa wanawaza nini?
 
10. Michaela Romanini

Meet Michaela, famous for her collagen abuse on her lips. Only 40 years old, and after a lot of surgery and a lot of money spent, her lips end up looking worse!
<center>
</center><center></center><center> </center>

Duh anatishaaaaa.
 
Kabanga mnatutisha jamani, maana ukikutana na hawa jamaa kwenye giza unaweza ukachafua nguo
 
That is what happens when you try to challenge God's way of doing things.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…