Top 10 best Tanzanian love songs of all times

Taswira ndani ya mboni naota mziki wa kizazi kipya ukielekea mamtoni,wasanii kumiliki magari nyumba za kulala hatuzioni,watangazaji bila mkwanja uzitia nyimbo kapuni,mdosi ananiambia tangu nigonge copy mia hajauza hata kumi-Man Dojo & Domokaya ft Triple 5 aka Babu
Mkali nimekukubali umeweka sawa. Kama nikikosea wewe weka swa, Ngoja niongezee

Namuona Baba wa Taifa kifimbo amekieklekezea East Africa...

Namuona mwanasiasa anaongopa...

Wanasema niachane na totoz nikishindwa nitumie mpira weeeee...

Kibao hiki kinanda chake kinaniua sana kinavyosindikiza
 
Nimetulia- Honey J Ft Spider
Latifa - Mb Dogg Ft Madee
Utulie Wangu Mpenzi - Jack
Selina - ( Forgotten)
 
Habarini ,
Ni wakati mwingine tulivu ambapo pamoja na shughuli za mchana kutwa, hivyo ni wasaa muhimu sasa hivi tujadili kuhusu nyimbo kumi bora zaidi ea mapenzi,

Kama tunavyo jua jinsi mziki wetu unapitia mabadiliko mbalimbali kadri muda unavyo zidi kwendaa

Pamoja na hayo yote zipo nyimbo ambazo zikipigwa redioni huleta hisia murua saana za kimahaba au kukumbusha mahali fulani ukiwa na mpenzi wako

Au pia yaweza kukukumbusha jinsi ulivyo kutana na mpenzi wako au hata tukio lolote lile la mapenzi..

Mimi nyimbo zangu bora kwa wakati wotee za kitanzania

1. Nimekuchagua wewe-Bob Ludala

2. Yalaiti-FA

3. Cindelera Kiba

4.Jibu la furaha_ Ismail

5.Nisamehe-Bob haisa

6. Moyo wangu-diamond

7.Zali la mentali- prof j

Wakuu nawasilisha, wekeni nyinginezo

wamwaka gani haaoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom