Top 10 african countries with best roads? Tanzania not part of the list

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
1588667701552.png

Top 10 African Countries With The Best Roads

1. Namibia

2. Rwanda

3. Egypt

4. Seychelles

5. Morocco

6. Mauritius

#7. Eswatini

8. South Africa

9. Kenya

10. Cape Verde

Source: WEF 2018 Quality of Roads Ranking (Global Competitiveness).

https://africaupdates.info/2020/05/04/10-african-countries-with-the-best-roads/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hii ripoti imeandikwa na mabeberu,ngoja niangalie nani wa kumtumbua kwny hili.

Pili hizo nchi 'Zote' ni 'ndogo' saaana ni kama wilaya zetu tu,yaani tukisema mabarabara tuliyojenga yahamishiwe kwao watakosa hata pakulima.

Tatu ninaripoti kutoka lumumba.
 
Number 1 - 3 hilo halina ubishi, ila ndugu, nikuambie tu, Tanzania ina best roads kuliko Kenya, hilo halina upinzani, unless kama hupajui Kenya au unaijua Kenya ya kwenye Google.
 
Tanzania iwe kwenye list kwa sababu ipi? Barabara inaharibika mjini kati unakaa mwaka kusubiri itengenezwe 😂😂😂 hili li nchi watu wamelala sana
 
Number 1 - 3 hilo halina ubishi, ila ndugu, nikuambie tu, Tanzania ina best roads kuliko Kenya, hilo halina upinzani, unless kama hupajui Kenya au unaijua Kenya ya kwenye Google.
Hzi ndoto kaote pale mwendo Kas
Ubungo

stidy
 
Mimi kwangu ni sawa kabisa. Kuna vitu vyingi vya kuangalia, quality, maintenance, reconstruction na planning.
Bado tuko poor sana kwenye quality barabara nyingi za tanzania hazina viwango vya kuhimili fatique

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabutupu,
Hiyo orodha haina ukweli

Kwa mfano Rwanda mtandao tu wa barabara ni mdogo sana maeneo mengine barabara n vumbi kuunganisha miji ya mashambani.
 
Hapa tunazungumzia kiwango cha barabara. Mfano dar haina barabara ya kiwango, kama ipo nitajie.
Swali zuri sana. Nimetembea barabara za Kenya na Rwanda pia naijua. Road network ya Tanzania iko vizuri na ime cover eneo kubwa la nchi

Anyways, kumbe serikali inapotumia mabilioni kwenye miradi ya barabara ni sahihi kabisa. Soon Tanzania tutakua juu kwenye hiyo orodha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom