BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 956
.........my hubby mpole, mtulivu yaani ni mtu asiyependa makuuu, jinsi tabia yangu ilivyokuwa nilijiona kabisa sistahili kuwa naye. Maana mimi nilikuwa mapepe sana.......muda mwingine nilikuwa nakosea lakini najifanya najua, basi ataongea kwa upole hadi najisikia vibaya. Ila siku hizi nimebadilika sana na mie nimekuwa mpole kiaina.
Hivyo mie nadhani hata kama wewe Michelle mkali lakini ukipata mume mpole nawe itafikia kipindi utakuwa mpole tu.
Habari zenu wana MMU?
Mwenzenu nina changamoto nahitaji kujua kama nanyi pia mna/mmekutana nalo katika maisha ya urafiki na uhusiano na je mlitatua vipi? ili na mimi niweze kujiona sawa!!!
Hivi imewahi kukutokea umekutana na mtu akakupenda na wewe umempenda ila unaona kama hustahili kuwa nae? yaani kwa jinsi alivyo,unajisikia vibaya kuwa nae? kutokana na tabia,historia,mwenendo,mistakes ambazo umewahi kufanya,yaani unaona,i don't deserve this guy/girl....he is just too good for me!!!
Mimi kweli nikipata mwanaume mpole na mnyenyekevu napata shida sana,manake unaweza chukia ukamjibu vibaya yeye yuko tu anakuangalia na baadaye anakuweka chini kwa upole anakueleza tatizo......waga kinaniuma sana,to the extent nafikiri maybe i deserve mtu mkali na mkorofi kidogo.....au mwingine,anakusamehe ukikosea na anakuelewa mpaka unaona,this is too good to be true...na wale ambao unamwambia makosa ambayo unafikiri yatamfanya akukimbie (kama kuwa na mtoto) lakini bado tu yeye anakupenda.....!!!
Nitafurahi kusikia mawazo yenu!
Thank you....i agree siwezi jua mtu alivyokuwa huko nyuma,ila tu kuna vitu vinatokea hata mkiwa pamoja,kama kukasirika na kuwa mkali mpaka basi,halafu later unaanza kujisikia vibaya....i feel gud and am gud MTM,ni ile tu kutaka kuwa kama huyo nayemuona perfect!!!
Kwa uzoefu wangu mimi, ukihisi he is too good to be yours/true ujue kuna walakini hapo, wengi wanakuwa wanafiki na badae unakuja kujua ukweli wake inakuwa too late. embu soma hii kwanza dear, halafu uone kama kuna lolote litakalo kusaidia;
When a date acts uninterested in anything we have to say it's usually a clear indication they are not that into us. If the reverse occurs, they pay too much attention, latch on to every word we say, usually means there's a problem.
Overly attentive individuals are often attention starved. Whether it's been simple bad luck in prior relationships, or something more sinister such as childhood neglect, the overly attentive are usually very needy emotionally and attach themselves to you very quickly.
Fast attachment
Relationships need to develop and evolve over time. Finding yourself on a first, second or even third date with someone who keeps using the word 'we' or starts making plans for the two of you, is on a fast attachment cycle. Even if the plans are minor like expecting to go for coffee or a walk or expecting you to give up prior appointments and commitments within a short span of time, means you have a fast attacher, and a big potential problem on your hand.
These types of people often don't take no well for an answer. Desperation is never attractive, and the more you pull away, the harder they try to attach. Often these types seem so perfect in other respects, but do yourself a favor and run!
They understand you too well
We all want someone who understands us, but someone who appears to instantly connect and 'get us', is often no more than a chameleon. Desperate to be loved themselves, chameleon's mirror our own personalities while masking their own. The biggest mistake we can make is thinking they are instant soul mates, when usually we could in fact be anyone who fulfills their warped sense of who we should and could be for a relationship.
It's all about you
Even worse than the overly attentive date, is the date who reveals little or no information about themselves, but disguises it all as your-the-one-so-what-does-my-past-matter. Women are particularly vulnerable to this type of man, and mistakenly think that they must be too good to be true because they appreciate us so much so fast. Often referred to in psychological circles as "Pedestaling", these types of men don't want to reveal past relationship mistakes as they usually involve something major.
Anything or anyone that seems to good to be true typically is. No one is, or should try and be perfect. Encountering someone on a date who seems a little too perfect is usually a good sign that we should run hard and fast in the other direction!
Michelle,
Mbona hapo umezungumza hivo?
mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu....kwa nini unaona kuwa ni makosa kuwa naye hadi kutolea mfano? Seriously nimekwazika sikutegemea hili kutoka kwako ila ndo uhuru wa maoni...
Kaizer,hujanielewa....nafahamu kabisa mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu,ila naomba nikuhakikishie wapo wanaume pindi wanapoambiwa nina mtoto/watoto,uhusiano ndo umeikia mwisho,utasikia siwezi kulea mtoto wa mwanamme mwenzangu,siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto,familia yangu itanionaje sijui nini???? nilichomaanisha ni kuwa vitu ambavyo ni sihu kubwa kwa baadhi ya wanaume,unakutana na mtu ambaye hajali kabisa,na si tatizo kwake.....nisamehe kama nimeku-dissapoint!!!
katika hayo makosa madogo afanyayo bado unamwona perfect? basi jaribu kubadilika ili mwendane sababu kwenye mahusiano huwa kuna kujishusha ili u cop na mwenzako, hamwezi kuwa sawa sababu hamjalelewa sehemu moja mmekutana ukubwani, pia learn to apreciate what you have and be proud of it mydiaWell said dear, i appreciate that....i agree,a little too perfect is usuallly not a good sign...but what is a little too perfect??? coz kama huyu,yeye pia hukosea na ana mapungufu yake,ishu tu ni mimi kuyalinganisha na yale yangu na kuona kuwa yangu ni makubwa zaidi au nampa shida!!
Partner you are who you are and thats the end of it.You can‘t and you shouldn‘t even try to change your personality so you could be like him or anyone else for that matter.Besides how do you know he doesn‘t like you because of your whole personality(ukali included)???
Nwy kama unataka kujua how he feels abou you being mkali just ask him.Kiutani utani tu atakwambia....mi nimeshaambiwa na watu kadhaa kwamba hawajali maana walikua wanastahili kusikia nilichosema na kwa namna niliyosema.
kama ambae akijisikia kukupiga unapokosea basi anakupiga??
mwanamke myonge ndo kama yupi mkuu??
kama ambae akijisikia kukupiga unapokosea basi anakupiga??
mwanamke myonge ndo kama yupi mkuu??
akijisikia kunipiga ajaribu aone
na mimi nna utashi wangu pia lol
wanyonge ni wale ambao wana behave kama maids hivi kwa waume zao
wanapokea order tu hata kama hawapendi
am i in love??? maybe dearest!!!
Umenisaidia sana dearest,its like umenielzea nilivyo na ninavyojisikia,atleast kuna binadamu kama mimi....manake naona kila siku hii kitu inanisumbua, na inanifanya niji controll sana mpaka naboreka....at least naweza elewa hii huruma ni ya kawaida kabisa,he he he....kubembeleza ndo sijui? siku unabembeleza niite dearest nipate somo.....l.o.l:A S-rose:
he he he he mwanamme hawezi kuni care wa nini sasa? kabaki mwenyewe duniani? for God's sake,hao ni watu walioko desperate,siwezi kuishi kwa kunyanyaswa hata kwa siku moja hata kama nampenda mtu kiasi gani....!
Wanawake wa NDIO MZEE huwajui dearest?!Yani ye kila kitu owkey..sawa...nimekubali...hata kama ni kitu ambacho anapaswa kukataa/pinga anakubali tu!!