Too few ThinkTanks in Tanzania

Ntamb

Member
Feb 13, 2008
18
0
Waungwana,

Je itasaidia kuwa na ThinkTanks, angalau moja kwenye kila fani ya maisha yetu hapa nchini?

Kuna riporti moja nimeisoma inayosema kwamba kuwepo kwa ThinkTanks kunachangia sana katika maendeleo ya nchi husika.

Iko hapa http://www.iris-france.org/docs/pdf/communiques/2010-03-think-tank-index.pdf

Ukiangalia mchango wa ThinkTanks kwa nchi nilizokuwa nazifuatilia, utaona kwamba zinao mchango mkubwa sana katika maamuzi ya serikali. Zinasema kitu, halafu unakuta serikali nayo inafanya vile wanavyoshauri.

Ifuatayo ni list fupi ya idadi ya ThinkTanks, Marekani inaongoza, zinafuata uingereza na Ujerumani. Tanzania tuko mkiani, Kenya na Ethiopia wako juu kidogo, lakini Swaziland na Libia 0 - nadhani huko hairuhusiwi eti ku-think( Joke)

1 United States 1776
2 UK 283
3 Germany 187
4 France 162
5 India 122
6 Russia 104
7 Japan 103
8 Argentina 100
9 Canada 94
10 Italy 87
11 China 73
12 Switzerland 72
13 Sweden 69
15 Netherlands 54
16 Romania 50
17 South Africa 47
19 Belgium 49
21 Brazil 38
23 Israel 35
24 Poland 35
...
Ethiopia 16
Ghana 17
Nigeria 27
Congo, D.R. 4
Libya 0
Swaziland 0
Mauritania 0
Burundi 1
Rwanda 1
Mozambique 2
Kenya 26
Uganda 9
Tanzania 6

Nazijua zifuatazo hapa nchini:
1) ICT Think Tank <http://www.eThinkTankTz.org>
2) ESRF - Economic and Social Research Foundation <http://www.esrftz.org>
3) MCT - Media Council of Tanzania <http://www.mct.or.tz/index.php?option=com_content&task=view&id=167>

List yangu inaishia hapo, nani ana zijua zilizobaki?

Hivi watu wenye ujuzi mbalimbali hawawezi kuunda thinktank zao, ili ziwepo za Kilimo, Siasa, Afya, Mazingira, Good Gorvernance, Ulinzi, Nishati, Uchumi nk.

Nionavyo mimi, mara kukiwa na tatizo fulani, ThinkTanks inayohusika, itafanya kila inaloweza kutafuta suruhisho. Bila kuwepo thinkTank maalumu, kinachotokea ni kwamba wote tunaishia kwenye kurumbana tu. Ingawa wanakuwepo ambao wangeweza kujitolea muhanga "to grab the bull by the horns", wanajisikia kukosa nguvu, wakidhani hawatapata mtu wa kuwaunga mkono. ThinkTanks zitakusanya vipaji vya namna hiyo.

Let me hear what others think, or have tried and know what works and what doesn't work.
I'm new here, so don't be shy to educate the new comer, please.

Jioni njema.
 
think tanks wetu ni politicians haohao kwa kila kitu! sasa mbona rwanda wanao mmoja tu but wametuzidi?
 
RealTz77 na King of Kings,
- Rwanda ni nchi ndogo, wakazi wake hawafikii wakazi wa Kigoma. Kama Kagame akipata matatizo leo, huwezi kujua wataelekea wapi. Kama tunataka kujilinganisha na Rwanda, basi inabidi tuwe na ThinkTanks kama 200 hivi. Huwezi kuwa na thinkTank iliyo Arusha, haina internet ya uhakika, haina usafiri, haina watu wa kutosha, halafu tutegemee itayaona vilivyo matukio ya Wamakonde.

- Kuuwawa. Mhu-u-u.. Ukiangalia wastani wa maisha ya mtanzania si zaidi ya miaka 50. Hivi kuna mtu anadhani watu wengi hawafikii uzee kwa sababu ya chinja-chinja?
Mtu anakufa kwa haraka zaidi kutokana na Malaria, Kiti moto, dogodogo, Kipindupindu, ajali za barabarani nk.
Kama tungesema basi navyo hivyo tuviogope namna hiyo, basi watu wasingepanda gari, wasinge pata bia wala kuvuta sigara. Badala yake tunaita 'Nzi kufia kwenye kidonda, siyo haramu..".

Kuna maoni mengine kemkemu yanatolewa kwenye mjadala unaofanana na huu, kwenye Jukwaa la Sheria
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...8566-thinktank-ya-sheria-na-haki-za-raia.html

Let me hear more ....
 
Back
Top Bottom