Ukiipata hiyo dawa hebu nambie na mimi nikainunue, kwani kuna mchuchu humu JF nimemmaindi kichizi yaani lakini kila nikijaribu kufungua mdomo ulimi unakuwa mzito ajabu!.habari yenu wakuu.
naomba kuuliza, hivi ile dawa ya tongozoro inafanya kazi?.
Nasikia kama wewe ni domo zege kwa mademu ukiitumia tu unaanza kutema mistali na unaye mpenda anakubali hapohapo. hasahasa ikitumiwa na wasichana ndo unatoa neno moja tu mtu anaingia line. vipi hii imekaaje? kuna mtu kaniagizia nimnunulie. kwamba inauzwa kwenye maduka ya madawa. je wapi naweza ipata. msaada japo sio mimi ninaye ihitaji.
Hii maneno za kiivi mbona ilishapitwa na wakati ?
nikipata ntakuambia. usihofu wala nini.
Kanunue pilipili kichaa. Ukitafuna 5 tu, maneno yatakuporomoka mtoto wa kiume kama bomba la maji machafu.