Tonga nchi ya kwanza kusherehekea mwaka mpya

Tonga nchi ya kwanza kusherehekea mwaka mpya

Kwa hiyo huko Tonga ingekuwa ndio Siku ya kiama (Siku ya Mwisho wa dunia) inayosemwa kwenye vitabu vya wazungu na waarabu hapa kwetu N'gwashilalage ningeuza Mali zangu fastafasta na kuagiza bia na kunywa huku nikimsubiri malaika Gablieli apige tarumbeta.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sisi hapa canberra tuko tunakunywa bia tu,tushaupokea mwaka.
 
Bombardier inawezekana ikaruka kwenda huko, nasikia maisha ya huko rahisi Sana
 
Back
Top Bottom