figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
TONGA nchi ya kwanza kusheherekea mwaka mpya
Kisiwa cha TONGA kilichopo katika bahari ya Pasific ndio nchi ya kwanza kuona mwaka mpya wa 2017 ikiwa ni saa TATU kabla ya NEW ZEALAND na AUSTRALIA kuona mwaka huo.
Huko NEW ZEALANDA sherehe za mwaka mpya zilifanyika saa NANE na dakika MBILI mchana kwa saa za AFRIKA Mashariki hii leo.
Hizo ni fataki na fashifashi zikirushwa hewani katika badari ya SYDENY ikiwa ni ishara ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2017.
Visiwa vidogo vya MAREKANI kama BAKER na HOWLAND ni kati ya maeneo ya mwisho kuouna mwaka mpya wa 2017.
JUDICA LOSAI
DESEMBA 31,2016