supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,012
- 1,955
Wakuu hizi siku mbili tatu nimekuwa nikisikia kuhusu suala la simu kurekodiwa. Sasa leo hii usiku huu nilikuwa naongea na mtu, yeye ndo alinipigia, ila cha ajabu nilipopokea tu nilisikia kweli Tone fulani kama ya recording hivi as if yeye ndo ananirecord, na pia katikati ya maongezi nikawa naendelea kusikia ile tone baada kama ya kila sekunde kadhaa! Wakuu nadhani ni kweli simu zinarekodiwa